Diamond ni zawadi kutoka kwa Mungu kwa watanzania

Diamond ni zawadi kutoka kwa Mungu kwa watanzania

el nino

JF-Expert Member
Joined
Nov 5, 2013
Posts
4,712
Reaction score
5,058
Jana nilijihakikishia jinsi gani Diamond yupo katika level yake ya kipekee huko juu....unajua ilikuwaje??

kwenye tamasha la fiesta la Dodoma ilipigwa nyimbo ya mdogomdogo bila Diamond kuwepo na ilipata shangwe zaidi ya wanamuziki wote waliokuwa wakipeform..

Zaidi hata ya Ally Kiba ambaye wanafki wachache wanafanya makusudi kumlinganisha na Diamiond...hebu fikiria mtu hayupo ila anakufunika je angekuwepo???!! ………………

Diamond ni zawadi kutoka kwa Mungu kama unampenda ally kiba, barnaba na wengineo poa tu lakini tambua Diamond yupo kule juu anawaangalia wale waliopo chini.
 
Du,hii nchi imezidi sasa zawadi za Mungu zimezidi kushinda hata mpaka hizo nchi teule za Mungu.Kweli Tanzania takatifu.
 
Jana nilijihakikishia jinsi gani Diamond yupo katika level yake ya kipekee huko juu....unajua ilikuwaje??

kwenye tamasha la fiesta la Dodoma ilipigwa nyimbo ya mdogomdogo bila Diamond kuwepo na ilipata shangwe zaidi ya wanamuziki wote waliokuwa wakipeform..

Zaidi hata ya ally kiba ambaye wanafki wachache wanafanya makusudi kumlinganisha na Diamiond...hebu fikiria mtu hayupo ila anakufunika je angekuwepo???!! ………………

Diamond ni zawadi kutoka kwa Mungu kama unampenda ally kiba, barnaba na wengineo poa tu lakini tambua Diamond yupo kule juu anawaangalia wale waliopo chini.

Upuuzi wa mwezi Octoba,zawadi kwa alikuzaa
 
Duuh, mimi namkubari sana kijana kwa juhudi zake.
Lakini huu sasa ni umburura yani mtu kawaza kabisa kwamba Mungu ameamua toa zawadi kama ile kwa Watanzania. Labda ni Mungu wako siyo ninaye muabudu mimi.
 
Kwa Mungu sote tu sawa, hakuna zawadi aliyowahi toa Mungu kwa wanadamu zaidi ya Mwanae Mpendwa Yesu Kristo.
Je huyo Dai anamwamini Yesu?
 
astakafirullah X 10000
lol unamshirikisha mungu katika hanasa lol
ungesema christina shushu,bahati bukuku,nurdin kishk,dr sulley ningekununulia bandle ya mwezi mzima
 
Mmmmmh... Mwehu ww Mungu hachezewi kiivo... Toka pepo ww.... !! Na ushindwe kabsa
 
Domo ni Zawadi tu kwa wale ambao kupitia yeye, wanaingiza siku na kuweza kupata haja zote mbli kubwa na ndogo.
 
Anafanya nini katika kujenga Ufalme wa Mungu useme ni zawadi kutoka kwake!! Ni muujiza gani kafanya unaomrudishia Mungu utukufu!!

LAbda kubadili vimwana ni utukufu kwa Mungu wake yeye na huyo diamond wake.
 
Nimeamini JF kuna watu wenye matatizo ya akili ...hivi mnaozitaja dhambi za diamond ina maana nyie hamna dhambi, hata Mungu alikuja kwa ajili ya wenye dhambi hivi nyie mnausafi gani mioyoni mwenu wa kukataa diamond si zawadi ya Mungu..ina maana shetani ndo amempa kipaji cha kuimba na pumzi ya bure..wajinga sana tena
 
Back
Top Bottom