Prince Kunta
JF-Expert Member
- Mar 27, 2014
- 22,797
- 28,904
Oohh!so ulitaka Tuendelee kubishanana upuuzi wako?maana sikuona hoja yako ya msingi hata kidogo!!Kumbe hujitambui!!!! Ngoja nikupuuze basi!
NONSENSE!!Oohh!so ulitaka Tuendelee kubishanana upuuzi wako?maana sikuona hoja yako ya msingi hata kidogo!!
Byeeeeeeeee!!
Sent using Jamii Forums mobile app
Umenisomesha au?kingereza hiko vepeee kama matusi mwenyeweeee!!NONSENSE!!
Nonsense!!!
Ha ha ha [emoji23] [emoji23]myplusbee uchambuzi ulioutoa hapo juu nakupa big up sana, ni wa moto mno... wasipoelewa na hapo wala usisumbuke kujibizana nao... hiki kizazi cha BRN kishaanza kuonesha athari zake
Kwa faida ya tusio na connection. Naomba niambie kilichojiri.Duh! Nyie watu sijui vp!!! Hivi hiyo habari inazungumzia suala la Diamond kuwa level moja na Jay Z au Diamond kusainiwa na Roc Nation?! Na msingi wa swali ulilo-quote ni kwamba, wakati Diamond anatangaza kwamba Roc Nation walimfuata kumsaini; yeye alikataa! Haters wakadai kwamba Diamond muongo na anatafuta kiki tu huku wakiamini asingekuwa na ubavu wa kukataa kusainiwa na Roc Nation!! Na alieleza ni kwanini alikataa kusainiwa na Roc Nation!
Ndipo nimeuliza: Je, hata baada ya miaka 3 kupita, bado wanaamini Diamond alidanganya kwamba alikataa kusainiwa na Roc Nation hasa ukizingatia aina ya mkataba wake na Universal Studio na alivyokuwa amesema kuhusu Roc Nation?!
Sasa Chifu suala la Diamond kuwa level moja na Jay Z linakujaje?!
kuna filters kwenye mitandao ambazo kwa watu walio business oriented huwa wanatumia kuona kina nani wana followers au views nyingi ili wawatumie kwenye biashara....Jigga ametumia hiyo ndipo akakutana na kitu inaitwa Mondi huko .....kwa sasa tulieni ndio wakati wake SIMBA@geniveros,
Domo ana fix balaa, jigga hajui ka kuna kitu inaitwa Diamond or Gold asee..
Nosense!!
Nonsense!