Diamond: Niliwatolea nje Roc Nation ya Jay-Z

Diamond: Niliwatolea nje Roc Nation ya Jay-Z

myplusbee uchambuzi ulioutoa hapo juu nakupa big up sana, ni wa moto mno... wasipoelewa na hapo wala usisumbuke kujibizana nao... hiki kizazi cha BRN kishaanza kuonesha athari zake
Ha ha ha [emoji23] [emoji23]
 
Duh! Nyie watu sijui vp!!! Hivi hiyo habari inazungumzia suala la Diamond kuwa level moja na Jay Z au Diamond kusainiwa na Roc Nation?! Na msingi wa swali ulilo-quote ni kwamba, wakati Diamond anatangaza kwamba Roc Nation walimfuata kumsaini; yeye alikataa! Haters wakadai kwamba Diamond muongo na anatafuta kiki tu huku wakiamini asingekuwa na ubavu wa kukataa kusainiwa na Roc Nation!! Na alieleza ni kwanini alikataa kusainiwa na Roc Nation!

Ndipo nimeuliza: Je, hata baada ya miaka 3 kupita, bado wanaamini Diamond alidanganya kwamba alikataa kusainiwa na Roc Nation hasa ukizingatia aina ya mkataba wake na Universal Studio na alivyokuwa amesema kuhusu Roc Nation?!

Sasa Chifu suala la Diamond kuwa level moja na Jay Z linakujaje?!
Kwa faida ya tusio na connection. Naomba niambie kilichojiri.
 
@geniveros,
Domo ana fix balaa, jigga hajui ka kuna kitu inaitwa Diamond or Gold asee..
kuna filters kwenye mitandao ambazo kwa watu walio business oriented huwa wanatumia kuona kina nani wana followers au views nyingi ili wawatumie kwenye biashara....Jigga ametumia hiyo ndipo akakutana na kitu inaitwa Mondi huko .....kwa sasa tulieni ndio wakati wake SIMBA
 
Nyi watu bora mngeendelea kupigwa na mafuriko mpaka weekend ipite ili muwe busy na maisha kidogo, maana naona mnabishana tu humu sababu yenyewe haijulikani.

Naona tu: Nonsense

Mwingine anaquote: Mwenyewe
 
Back
Top Bottom