Diamond: Niliwatolea nje Roc Nation ya Jay-Z

Wakati tetesi za Chibu kutoka na Zari zinaanza kusikika kuna watu wenye upeo kama wako nao walisema labda Zari wa Sinza.
Kwa watu ambao walikuwa hawamjuwi Zari labda, mimi binafsi namjuwa huyo toka analeta nyapu kuwauzia watu bongo na Seychelles. Kwahiyo kuwa na Mondi sikushangaa. Ila mondi kukataa kusign Roc Nation ahhh.. Unajuwa Roc Nation level yake wewe kweli? Nenda kasome ujuwe. Kick zingine mbayaaaa..

Sent from my SAMSUNG-SM-G935A using JamiiForums mobile app
 
HIYO SAMSUNG YAKO ITAKUWA MPYA NDIO MAANA UNA MIHEMKO KWENYE POST ZAKO[emoji4]
 
Duh! We jamaa una viroja ile mbaya manake unavyoizungumzia hiyo Roc Nation mtu anaweza kudhani ndiyo largest recording label duniani! Kwa taarifa yako, mtu mwenye akili timamu hawezi kukubali kuwa signed yeye kama yeye as artist kwenye recording label nyingine wakati na yeye ana label ya kwake! Unaposaini kwenye recording label as artist basi kuna uwezekano mkubwa sana, tena sana kwamba kazi utakazofanya zitakuwa copyrighted kwa hiyo recording label!! Sasa wewe na Uafrika wako huo huo tuseme una label yako ambayo ki-local local inaenda poa tu; ungekubali usainiwe wewe binafsi na sio label yako?!
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Huyu [emoji205] anamjua JAY Z vzuri...
 
Jay z sio mungu flan mkuu,ila n zaid ya vjneno ulvoandika apa,jay z jay z jay zzzZ...
Tuwe serious watanzania,JAY Z huyu ambae mastaa kbao wa USA wakimuona tu wanababaika au jayz wa sinza...
Tuangalie na vya kutetea,..
Embu tafta vdep za jay z akfanya mikutano na wasanii wengne uone wanavotaman ht awape mkono
 
Yaani jamaa kuwa star instagram anajiona keshafika level ya juu watanzania shida kweli.
 
HIYO SAMSUNG YAKO ITAKUWA MPYA NDIO MAANA UNA MIHEMKO KWENYE POST ZAKO[emoji4]
Sorry. Simu yangu inahusiana nini hapo? Kweli wa Tanzania uwezo wetu wa kufikilia 1% na hii inasababishwa na watu kama wewe.
 
Kwanini tunaamini kuwa hii ni chai? Kuwa haiwezekani kabisa?
 
Hao Roc wana nini mkuu mbona wa kawaida sana 2pac mwenyewe alitaka kuondoka Death Row record ya Suge Knight baada ya kuona ananyonywa tu ..
 
Yeah kila mtu na perception yake, kwangu Jigga wa ROCNation sio mtu wa mchezo mchezo hivi.
Jigga ana kitu gani hana lolote zama zake zimeshapita kawa mfanyabiashara siku hizi anaenda mpaka nigeria kutafuta wasanii wa bei rahisi wa kuwasainisha kwenye label yake!
 
Jigga ana kitu gani hana lolote zama zake zimeshapita kawa mfanyabiashara siku hizi anaenda mpaka nigeria kutafuta wasanii wa bei rahisi wa kuwasainisha kwenye label yake!
In a nutshell Domo ana kick za kishamba na hakuna kitu kama hicho!...alijikurupusha LA airport akapiga pic na Kanye West, ilikuwa balaa hizo tambo zake insta, ijekuwa Jigga atake kumsainisha ndo aropoke leo. Moyo umegomaaaa
 
Davido Mwenyewe alikesha kujipendekeza kwa JAY Z ili tu arecord wimbo mmoja auze sauti yake US ila Jay Z kampotezea...iweje iwe easy kwa Diamond?

Sidhani aisee.
 
When I’m looking to your eyes Furaha yangu naiona Pressure unani-minimize Napougua napona (ni wewe) Ananichanganya (ni wewe) Asi kwa chanya (ni wewe) Anaenichanganya (ni wewe) Shibe yangu mama (ni wewe) Eh hee hee, hivyo hivyo Hivyo chunga tusije tengana Hivyo hivyo Taratibu tutafika mama
Na ngoma yako isakata Nakoma dance ukikata Sangoma wa nini nshanasa
 
Duhh braza unachoma masela wanaomaliza chuo kesho kutwa hivi hivi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…