Diamond: Niliwatolea nje Roc Nation ya Jay-Z

Mara nyingi unapokua na ndoto yako kubwa ambayo watu wanaona haiwezekani wewe ndo unatakiwa ukazane hapo hapo..kwasababu hakuna lisilowezekana. Sioni uongo uko wapi hapa kwenye hili swala, msanii kama Tiwa tu amekua signed recently na Roc Nation. Why not Diamond? Anachokitaka Diamond sio sifa za kuwa kwenye label kubwa he wants assurance ya kipato chake, soko lake kukua, kujipenyeza zaidi kimataifa na kuwa partners. It's something that seems impossible but dogo tayari keshafanya mengi kuwa possible so let's wait and see how he makes this one come to reality. Hakuna lisilowezekana ni uthubutu tu and dogo is very Daring
 
Domo Networth haijulikani kwani vyanzo vyake vya mapato haviko wazi,ila mwaka 2013 alikuwa ana akaunti yenye zaidi ya bilioni moja( USD 0.5m) wakati anahojiwa na Zamaradi Clouds.
Hmm,sidhani hta jay z anamjua huyu domo...
Sidhanii....
 
Safi sana
Wewe unamwamini huyo mwongo mkubwa?
Yaani Diamond ana nini cha kuwekeana ligi na Jay Z?
una umaarufu gani kwanza?
wamarekani wangapi wanamjua diamond? kujulikana Rwanda, Tanzania, Congo, Kenya, Uganda na South Africa ndo anadhani amekuwa rank moja na jiga?
 
Tofautisha msimamo na umaarufu wa mtu...nimependa msimamo alauonyesha
 
Mkuu sina choyo wala kutaka kumsema ubaya Diamond lakini Record label za Marekani sijawahi kusikia kusign mziki wa kigeni zaidi ya jamaica na reggaton tu.
Dbanj,p sqare,tiwa savage kwann iwe ngumu Kwa diamond au ndio kuchukuliana poa kisa wote mnakunywa Maji ya mto ruvu?
 
Tujikumbushe haters walivyokuwa wanamwaga povu kwamba Diamond alikuwa anatafuta kiki! Sasa sijui Roc Nation na Universal label kubwa ni ipi!
 
Duh! Huu uzi watu walijimaliza!!! Imenibidi nipitie posts zote. Ukizisoma moja ya baada ya nyingine, ndipo utakapogundua ama Watanzania ni roho mbaya au hawajiamini kwamba wanaweza!
Ulichofanya wewe ndio nimekifanya hapa 🤣🤣🤣🤣 kuna watu kauzibe sana
 
Miaka 3 baadae, tunaomba maoni yako kwenye hii mada!!!!1
 
We jamaa una akili sana! Ni wachache sana wanaofahamu hilo, na matokeo yake leo hii wanaona aibu!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…