Diamond: Niliwatolea nje Roc Nation ya Jay-Z

Muongo bwana!!![emoji57] [emoji57] [emoji57] [emoji57]

Anadanganya km hatujui kusoma vile!

Hivi hao wenziwe kwani hawatamani kukolabo na kina jiga?

Nafasi za kuwapata mpk waje coke studio km Neyo ndo tusafirie nyota!

Uongo mtupu!
Kick za kishamba
Tunaomba maoni yenu tafadhali! Kwa kuwakumbusha tu, ambacho Diamond alisema alikataa kwa sababu hakutaka kuwa chini ya label, ndicho ambacho kinyume chake kilifanywa na UMG; kwamba ngoma zake ni mali yake na label yake ya WCB!!
 
Tunaomba maoni yenu tafadhali! Kwa kuwakumbusha tu, ambacho Diamond alisema alikataa kwa sababu hakutaka kuwa chini ya label, ndicho ambacho kinyume chake kilifanywa na UMG; kwamba ngoma zake ni mali yake na label yake ya WCB!!
Kwa hyo unasuta au?tafuta vya kufanya bwana wee!tushahama hapo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Na kweli kijana kafika mbali kwa sasa. Its been 3 years !
 
Povuu Mimi au wewe?!!!sasa umetumwa kuuliza?ulitaka uulize usijibiwe?Jifunze kubalansi shoboo!!!byeeeeeeeee
Mbona povuu wakati umeulizwa tu?! Btw, wewe mwenye ya kufanya nini basi kimekufanya ujibu badala ya kupotezea tu ili uendelee kufanya hayo unayofanya?!

Sent using Jamii Forums mobile app
Halafu kwani unaongelea nn? Sikuelewi hataa
 
Hii ilikuja muda mfupi baada ya king KIBA kuwa signed na SONY kama amabavyo kaamua kwenda KIGOMA 31|12 baada ya KING KUUMIZA VIBAYA TABORA hapa ndo utajua kiba anafuatiliwa hadi na mabosi wenu kima nyie...na najua baada ya kiba kupewa tuzo na mashabiki wake juzi ngojeni muone mashabiki wa jamaa watachofanya....ni kufuata nyayo tuuu mkubwa mkubwa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kasainiwa michael jackson WEWE NANI?..hata KANYE UNAYEMTAJA YUPO UNDER LABEL....wewe MMANYEMA NI NAAANI ukatae hahahahaaaaaa...kuchamba kwingi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwamba diamond miaka 3 baadae atakuwa yupo sawa na Jay Z

Kweli we ni kilaza
Sasa mimi na wewe kilaza nani??! Hivi kuna ukilaza mbaya kama kuwa kilaza halafu hujijui kwamba ni kilaza?!Yaani kwa akili yako unaamini hii mada inamlinganisha Diamond na Jay Z?! Au kwa akili yako fupi maelezo yangu unayaona yanamlinganisha Jay Z na Diamond?!
 
Anajichelewesha kufikia kwa jigga atakufa afufuke afe tena hahahaaa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kasainiwa michael jackson WEWE NANI?..hata KANYE UNAYEMTAJA YUPO UNDER LABEL....wewe MMANYEMA NI NAAANI ukatae hahahahaaaaaa...kuchamba kwingi.

Sent using Jamii Forums mobile app
Lakini ulielewa hoja ya Diamond?! Yeye shida yake haikuwa kusainiwa na Roc Nation bali ambacho hakutaka ni kuwa chini ya Roc Nation! Label nyingi ukienda kichwa kichwa, wanataka wakusaini uwe chini yao; na matokeo yake ndo kama yale ya Saida Karol na FM, au ya Harmonize na WCB! Na kwa international level, tafuta mkataba wa zamani wa Taylor Swift!

Hata hivyo, siwezi kuwalaumu Saida na Harmonize kwa sababu walikuwa wanatafuta kutoka na walikuwa hawajaji-establish! Athari ya alichokuwa amekataa ni kwamba, hizi ngoma ambazo anatoa zingekuwa sio mali yake bali ni mali ya Roc Nation kwa sababu wao ndio wangegharamia kuanzia studio hadi video!! Sasa kwanini wao wagharamie nyimbo ziwe zao wakati mwenyewe tayari una label?!
 
hahahaha mkuu hebu kanywe chai kwanza.
 
Angekuja kutuambia walimtaka akaenda bt mkataba haukuwa na favour kwake sawa asa anasema walimtaka akakataa huyu diamond au diamond yupi?...jamaa sukari sana anatumia nguvu nying sana ili amantain karia yake hahahaaaa...nenda waambie ok ili mnisaini nataka 1,2,3.....wakishindwa njoo tuambie tulishindwana coz ya 1,2,3...ILA SISHANGAI TULIWAGI AMBIWA ATATUMBUIZA UFUNGUZI WA KOMBE LA DUNIA RUSSIA TULIPOHOJI ZILIKUJA HOJA TETEZI KAMA HIZI NA MWISHO WA SIKU RUSSIA HATUKUMUONA...sidhani kama kuna haja ya kumaliza nguvu zangu hapa..drama

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mbona davido ana lebel na yupo chini ya jamaa...Ali kiba ana lebel na yupo sonny na rockstar

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mbona davido ana lebel na yupo chini ya jamaa...Ali kiba ana lebel na yupo sonny na rockstar

Sent using Jamii Forums mobile app
Tatizo sio kuwa na label, bali mkataba wao unasema nini!! Aidha, mtu kama Davido anaweza kuwa chini ya hao watu lakini kumbe mkataba wao unahusiana na masuala ya publishing tu! Na haya mambo yanakuwa hayajulikani hadi mkataba unapoisha au kuvunjika!! Kama hukutaka mfano wa akina Harmonize na Saida Karori, nimekupa hapo mfano wa Taylor Swift! Msome mwenyewe hapa akiwatolea povu Big Machine:-
Sasa huyo ni Taylor Swift pleading for a chance to own her own work!! Kwamba, pamoja na ukubwa wake wote, pamoja na mafanikio yake yote, bado Big Machine hawakumpa chance Taylor ya kununua masters zake; yaani kama ambavyo walifanya WCB kwa Harmonize!! Yaani kazi alizotolea jasho mwenyewe, bado alikuwa anapigania azinunue ili azimiliki!!

Sasa huyo ni Taylor Swift, what about mtu kama Diamond au hao akina Davido!

Na hili sio kwa Taylor Swift peke yake!! Kama unafuatilia burudani, bila shaka unaufahamu mtandao wa Rolling Stone, ambao naamini ni kawaida kwao kuwa na inside info! Kwenye hilo sakata, Rolling Stone waliandika:- Wametaja hapo wasanii wengine ambao wali-retaliate kwa sababu kimsingi, hawakuwa na ownership ya masters, bali ilikuwa inamilikiwa na labels zao! Sasa hicho ndicho hakutaka Diamond!

Na kama kumbukumbu zangu zipo sawa, nadhani tatizo kama hilo lilitokea kwa Michael Jackson chini ya hao hao Sony wa Ali Kiba!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…