Diamond Platinum awa gumzo kubwa Paris Fashion Week na vazi lake la pweza

sinza pazuri

JF-Expert Member
Joined
Aug 16, 2014
Posts
3,344
Reaction score
9,066
20240622_174115.jpg

20240622_174136.jpg

Hakika mwaka huu Paris Fashion Week imepatwa na gumzo kubwa baada ya kijana wa Tandale, Diamond Platinumz kutinga na vazi lake la pweza.

Hii ni moja ya platform kubwa ya fashion duniani na inauzuliwa na watu wenye nguvu kwenye industry ya entertainment.

Kudos Diamond kwa kuiwakilisha Africa.
 
View attachment 3023175
View attachment 3023176

Haya mambo yote huyu mtu anayafanya saa ngapi?
Iseee!
 
View attachment 3023175
View attachment 3023176
Hakika mwaka huu Paris Fashion Week imepatwa na gumzo kubwa baada ya kijana wa Tandale, Diamond Platinumz kutinga na vazi lake la pweza.

Hii ni moja ya platform kubwa ya fashion duniani na inauzuliwa na watu wenye nguvu kwenye industry ya entertainment.

Kudos Diamond kwa kuiwakilisha Africa.
Ushamba mzigo sana kwa mtoto wa tandale, sasa hapo alienda kama mualikwa ? Au model? Mbona waalikwa wenzake wanavaa tu casual?
 
Diamond ni very busy person anapenda sana kufanya kazi. Ndio moja ya siri ya mafanikio yake.
Boss wako yeye yake anayafanya vizuri, hata wewe unakiri . Wewe hata kazi ya uchawa inakushinda….iwe WCB..CCM…..kote bureeeeeee
 
Back
Top Bottom