Diamond Platinum awa gumzo kubwa Paris Fashion Week na vazi lake la pweza

Diamond Platinum awa gumzo kubwa Paris Fashion Week na vazi lake la pweza


Hakika mwaka huu Paris Fashion Week imepatwa na gumzo kubwa baada ya kijana wa Tandale, Diamond Platinumz kutinga na vazi lake la pweza.

Hii ni moja ya platform kubwa ya fashion duniani na inauzuliwa na watu wenye nguvu kwenye industry ya entertainment.

Kudos Diamond kwa kuiwakilisha Africa.
Ndio ukichaa unaingia hivyo
Maradhi ya akili hayo. Mtu mwenye akili timamu hawezi kuvaa hivyo
 
Back
Top Bottom