Diamond Platinum awa gumzo kubwa Paris Fashion Week na vazi lake la pweza

Diamond Platinum awa gumzo kubwa Paris Fashion Week na vazi lake la pweza

Bora ucheki bob wa kifala kuliko wewe kuwa msela nnya.

Haya ni mambo ya kawaida kwa masupastaa wakubwa duniani.
Hata genius wa hiphop muziki wa wagumu anaelewa umuhimu wa hizi mbanga.

View attachment 3023300
Kwa hiyo we protocol ya life style yako huwa unafanya sio kwasababu ni sahihi kufanya.

Ila unafanya kwasababu umemuona fulani anafanya sindio?
 
Hakika mwaka huu Paris Fashion Week imepatwa na gumzo kubwa baada ya kijana wa Tandale, Diamond Platinumz kutinga na vazi lake la pweza.

Hii ni moja ya platform kubwa ya fashion duniani na inauzuliwa na watu wenye nguvu kwenye industry ya entertainment.

Kudos Diamond kwa kuiwakilisha Africa.
Watakao chukua urithi kazi wanayo!
 
Hakika mwaka huu Paris Fashion Week imepatwa na gumzo kubwa baada ya kijana wa Tandale, Diamond Platinumz kutinga na vazi lake la pweza.

Hii ni moja ya platform kubwa ya fashion duniani na inauzuliwa na watu wenye nguvu kwenye industry ya entertainment.

Kudos Diamond kwa kuiwakilisha Africa.
Daaah kweli Pesa inatafutwa sana
 
Back
Top Bottom