Diamond Platinum awa gumzo kubwa Paris Fashion Week na vazi lake la pweza

Diamond Platinum awa gumzo kubwa Paris Fashion Week na vazi lake la pweza


Hakika mwaka huu Paris Fashion Week imepatwa na gumzo kubwa baada ya kijana wa Tandale, Diamond Platinumz kutinga na vazi lake la pweza.

Hii ni moja ya platform kubwa ya fashion duniani na inauzuliwa na watu wenye nguvu kwenye industry ya entertainment.

Kudos Diamond kwa kuiwakilisha Africa.
Ana tafuta kick a trend kama Kanye.
 
Huku mtaani Ukivaa kama hivyo halafu maisha yanakupiga inaonekana Kama Chizi
 
Back
Top Bottom