sinza pazuri
JF-Expert Member
- Aug 16, 2014
- 3,344
- 9,066
Haya mambo yote huyu mtu anayafanya saa ngapi?View attachment 3023175
View attachment 3023176
Hakika mwaka huu Paris Fashion Week imepatwa na gumzo kubwa baada ya kijana wa Tandale, Diamond Platinumz kutinga na vazi lake la pweza.
Hii ni moja ya platform kubwa ya fashion duniani na inauzuliwa na watu wenye nguvu kwenye industry ya entertainment.
Kudos Diamond kwa kuiwakilisha Africa.
Diamond ni very busy person anapenda sana kufanya kazi. Ndio moja ya siri ya mafanikio yake.Haya mambo yote huyu mtu anayafanya saa ngapi?
Iseee!
BogaView attachment 3023175
View attachment 3023176
Hakika mwaka huu Paris Fashion Week imepatwa na gumzo kubwa baada ya kijana wa Tandale, Diamond Platinumz kutinga na vazi lake la pweza.
Hii ni moja ya platform kubwa ya fashion duniani na inauzuliwa na watu wenye nguvu kwenye industry ya entertainment.
Kudos Diamond kwa kuiwakilisha Africa.
Inahudhuriwa.View attachment 3023175
View attachment 3023176
Hii ni moja ya platform kubwa ya fashion duniani na inauzuliwa na watu wenye nguvu kwenye industry ya entertainment.
Kudos Diamond kwa kuiwakilisha Africa.
Hudhuru ni dharula.Inahudhuriwa.
Nilifikiri stress zako za kuwa rejected kwenye life zishaisha kumbe bado unauguaPdidy sean combs liked your post
Ushamba mzigo sana kwa mtoto wa tandale, sasa hapo alienda kama mualikwa ? Au model? Mbona waalikwa wenzake wanavaa tu casual?View attachment 3023175
View attachment 3023176
Hakika mwaka huu Paris Fashion Week imepatwa na gumzo kubwa baada ya kijana wa Tandale, Diamond Platinumz kutinga na vazi lake la pweza.
Hii ni moja ya platform kubwa ya fashion duniani na inauzuliwa na watu wenye nguvu kwenye industry ya entertainment.
Kudos Diamond kwa kuiwakilisha Africa.
inatumika kotekote. kiufupi uzulia ni neno sio sahihi au tuseme hakuna ktk Kiswahili.Hudhuru ni dharula.
Labda ya uubwabwaGumzo gani?
Boss wako yeye yake anayafanya vizuri, hata wewe unakiri . Wewe hata kazi ya uchawa inakushinda….iwe WCB..CCM…..kote bureeeeeeeDiamond ni very busy person anapenda sana kufanya kazi. Ndio moja ya siri ya mafanikio yake.
Nilifikiri stress zako za kuwa rejected kwenye life zishaisha kumbe bado unaugua
Katika uBOGA wakeDiamond Platinumz katika ubora wake
Bora ucheki bob wa kifala kuliko wewe kuwa msela nnya.Ukisikia ucheki bob wa kifala ndio huo sasa.
Ukiuliza kwanini utaambiwa kwasababu ni star.