Thailand
JF-Expert Member
- Nov 15, 2019
- 275
- 795
Kwa namna scene za matukio vilivyopangiliwa kwenye wimbo wa Yatapita, now Diamond anaweza ku switch kunako kiwanda cha Bongo movie na akafanya vizuri zaid na kuinua tathinia hiyo kimataifa zaidi.
Imagine Diamond anaigiza movie kama hii;
Diamond (askali polisi) anayedhalaurika kazini, kitengo kimejaa rushwa na ufisadi.
Kikosi cha wasichana under 17 kimefuzu kwenda Japan kwa ajili ya mashindano ya world cup. Kikiwa angani kwenye ndege ya Tanzania air kumbe mle ndani kuna magaidi wanaotaka kuchukua mikoa ya kasikazini.
Kikosi hicho cha magaidi kinalazimisha ndege itue Arusha airport. Mabinti hao wanachukuliwa kuelekea kwenye kambi ya magaidi iliyoko Ngorongoro.
Kila vikosi vya usalama vinavyotumwa huko vinaambulia kipigo heavy.
Diamond (askali polisi) anajaribu kuomba aende huko, anazuiliwa. Picha za watoto hao zinatumwa wakiwa wanateswa sana na unyanyasi wa kingono.
Diamond anaamua kuandaa vijana wake wawili wanakula mafunzo ya kijeshi ili kwenda kukomboa mabinti hao. Anapata upinzani mkubwa kutoka kwa bosi wake mpaka anaamua kuacha kazi, huku akiiba baadhi ya siraha za kivita ambazo anawakabidhi vijana wake na kuondoka kuelekea ngorongoro.
Ndani ya hiyo kambi ya waasi wanajishugulisha na kilimo kikubwa cha bangi ambayo inasambazwa kwa wingi sana kwenye soko la Africa mashariki.
Diamond wanaingia hapo wanateketeza shamba hilo kwa moto na kuweza kutembeza kipigo heavy ambacho kinasaidia kuangamiza kundi hilo na kuokoa mabinti hao.
Mwisho Diamond anaweza kutoka na mabinti hao huku vikosi vya usalama vikifika ili kumpa back up, wanakuta kijana kashamaliza kazi.
Script hii ipo, bado kuigizwa tu