Thailand
JF-Expert Member
- Nov 15, 2019
- 275
- 795
- Thread starter
- #41
Wewe ni wale wanafunzi waliookuwa wakikesha wanakariri darasani.Mbona unachukulia uigizaji kama kumwaga maji juu ya ardhi, scenes chache kama zile zisikutoe kwenye uhalisia. Uigizaji haufanywi na kila mtu, labda kama unamaanisha kuigiza kama movies za kibongo
Kabla the Rock hajatoka kwenye mieleka nani alimdhania kwamba anaweza kufanya movie nzuri USA, The same to 50 cent, Justin Timberlake na wengine kibao.
Halafu Bongo movie sio kwamba hawana wasanii wazur sema budget yao ndio huwaangusha.