Diamond Platinum hata kwenye filamu anaweza kufanya vizuri

Yaah kwa ustar wake anaweza tatizo ni mpunga kuigiza movie iliyoenda shule ni gharama sana.
 
Hii script ni akili za kibongo movie, movie inaigizwa week moja….mtu anaendesha gari 10 mins katika movie ya lisaa limoja
Msanii ana act chizi ila kwa kuwa alikuwa na rasta au superblack bas anavaa kofia tu afu anacheza kipande chake.
kwao wenzetu wazungu ni rahisi kunyoa au kuzifanya nywele watakavyo cause wao huwahi kukua .
 
kwao wenzetu wazungu ni rahisi kunyoa au kuzifanya nywele watakavyo cause wao huwahi kukua .
Hiyo sio sababu yaani msanii ajira yako ulipwe inavyostahili,upewe muonekano wa script ukatae kwa sababu nywele hazitakua mapema?
Ni kwamba muda wetu bado tuu.ila tutafika siku moja movie za kiswahili zipata wajuzi na zitauza world wide.
 
Dunia ya leo ukisha kua maarufu basi kila kitu kinawezekana kwako,ukisha jitengenezea Brand,kila kitu inakua ni rahisi,ndio maana hata Ukraine wanaongozwa na aliyekua Comedian.
 
Hata Ali Kiba anaweza.
Harmonize pia anaweza.
 
Hata Haji Manara mbona anaweza, we si unaona matukio ayafanyayo na kick azipatazo?
 
Kibongobongo unaigiza movie kuwa we ni tajiri unamiliki makampuni makubwa unaishi kwenye nyumba ya 200m ila usafiri wako ni passo ya million 7 imebondeka kiaiana hapo mbele, ukipata na mewani nyeusi tayari umekua star
 
Punguza Chuki kwa Kiba mkuu,chuki haijengi,pambana na maisha yako.

Kwani wewe huyu mmezaliwa baba mmoja au ndio kujipendekeza?

Mimi naonge kitu halisi kozi sio mara mmoja nakutana nae na ninaona anacho wafanyia mashabik zake ana wanyari hio tabia mzuri kwa yeye?
 
Diamond ashajitengenezea jina tayar, hata akiamua kuuza nyanya sokoni kariakoo atauza hata fuso 5 kwa siku, tena hata wale wasiokuwa na mahitaji ya nyanya watatoka hata Moro kwenda Dar kununua nyanya kwa Diamond.
Wanachotakiwa kujifunza wengine ni kufanya kazi kwa uweledi ili siku kazi hiyo ikibuma unaweza kafanya nyingine kwa ubora zaid kwa kuwa unaungwa mkono na mashabiki zako.
 
Kwani wewe huyu mmezaliwa baba mmoja au ndio kujipendekeza?

Mimi naonge kitu halisi kozi sio mara mmoja nakutana nae na ninaona anacho wafanyia mashabik zake ana wanyari hio tabia mzuri kwa yeye?
Wewe unayemchukia umezaliwa nae Baba mmoja? nimekuuliza weka hapa kiburi chake,umeshindwa na kuanza kuharisha hovyo tu hapa,acha chuki za kijinga,Wanaume hatupo hivyo,pambana na hali yako.
 
Wewe unayemchukia umezaliwa nae Baba mmoja? nimekuuliza weka hapa kiburi chake,umeshindwa na kuanza kuharisha hovyo tu hapa,acha chuki za kijinga,Wanaume hatupo hivyo,pambana na hali yako.

Kwahio ata wewe ukikosea hatupaswi kukuambia hili ujilekebishe?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…