Diamond Platinumz akiwa na rais wa Gabon

Nywele gani sasa hizo diamond?Uwanja wa ndege JNIA kuna Tshirt nzuri za kutangaza 9Tanzania.Nimeishi nchi hizo ukanda wa magharibi Gabon,Togo,Benin,Senegal,Mali,Burkina nk.Wengi hawaifahamu Tanzania.Wanaifahamu Kenya!
 
Wewe kama una likitambi huwezi vaa nguo nzuri, hakuna nguo nzuri kwa mtu mwenye tumbo kubwa, utaishia kulalamika, kaka punguza tumbo hizo nguo utavaa

I can assure you sina kitambi wala siendekezi kunenepa. Nadhani kwa umri wangu siwezi zivaa, ni zenu vijana!!!
 
Usahihi ,Rais wa Gabon akiwa na wasanii mbalimbali namuona Akon,Davido,Diamond na wengineo
Hajasema "Rais wa Gabon akiwa na Diamond bali Diamond akiwa na Rais wa Gabon!"

Diamond hayupo hapo kwa ajili ya akina Davido bali yupo kwa ajili ya Rais wa Gabon kwahiyo ni sahihi kusema "Diamond akiwa na Rais wa Gabon." Isingekuwa sahihi endapo angesema Rais wa Gabon akiwa na Diamond!

Jifunze grama ya Kiswahili!!!!
 
Kazi unayo....
 
Diamond hayupo Gabon kwa ajili ya Rais Bongo bali yupo huko kwa mualiko wa CAF kushiriki uzinduzi wa AFCON kama walivyoalikwa hao wengine
Acha kujitoa akili wewe... nimesema hapo... hapo wapi? Kuna CAF hapo kama sio picha ya pamoja?!

Nilidhani tatizo lako ni Kiswahili pekee kumbe una matatizo makubwa zaidi ya uelewa wa Kiswahili!
 
 
huyu kisha potea , hizo fashion zake, nywele, tattoos na hereni karibu utasikia mengine ya tabia mbaya - hizi ndio huwa dalili za kuelekea huko
Mkuu, Mbona ujataja kale katabia kasikopendwa na Mgabe, kakaanza long time
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…