Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hao wamedandia picha tu
Nywele gani sasa hizo diamond?Uwanja wa ndege JNIA kuna Tshirt nzuri za kutangaza Tanzania.Mimi nineishi sana nchi hizo ukanda wa magharibi Gabon,Togo,Benin,Senegal,Mali,Burkina nk.Wengi hawaifahamu Tanzania.Wanaifahamu Kenya!
mbona anakutana nae sana kwenye awards huko nje?Lazma amvute Akon pembeni waongee mawili matatu
hahahahahaaaaaUsahihi ,Rais wa Gabon akiwa na wasanii mbalimbali namuona Akon,Davido,Diamond na wengineo
Wewe kama una likitambi huwezi vaa nguo nzuri, hakuna nguo nzuri kwa mtu mwenye tumbo kubwa, utaishia kulalamika, kaka punguza tumbo hizo nguo utavaa
Uko sahihi kabisa mkuu!Usahihi ,Rais wa Gabon akiwa na wasanii mbalimbali namuona Akon,Davido,Diamond na wengineo
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Suruali yake kwani vipi!! Alikosea akachukua ya Zari???!
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Domo kavaa skin tight ya tifa
Ohooo!!!Nadhani hicho kisuruali alichokivaa akitaka kuvua inabidi akae kitandani then rayvan/rich mavoko amsaidie kukivuta juu ili akivue la sivyo hakivuliki aisee.
Gabon’s Bongo Family: Living In Luxury, Paid For By Corruption And Embezzlementhuyo president havaagi Suti
yeye ni hizo nguo za dizaini ya kifalme kanzu kanzu... sijawahi muona Press Ali Bongo in Suti
halafu inaontesha watu waGabon wanampenda Sana.
na ni MTU mstaarabu.
Namuonaga GyanTv ,au TV Gabon( sijui lakini Kama kweli mstaarabu [emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125])
Hajasema "Rais wa Gabon akiwa na Diamond bali Diamond akiwa na Rais wa Gabon!"Usahihi ,Rais wa Gabon akiwa na wasanii mbalimbali namuona Akon,Davido,Diamond na wengineo
namuona na akon pale....[emoji47]View attachment 459621
Diamond Platinumz akiwa na Rais wa Gabon Ali Bongo Odimba
View attachment 459622
View attachment 459623
Kazi unayo....Anawakilisha taifa gani? Katika eneo gani?
Angalieni tulivyopotea!
Alama ya utaifa au utanzania iko wapi hapo?
Utamaduni wa mtanzania ni upi hapo? Kwa hicho kijisuruali amevaa utafikiri anazuia naniliu?
Kwa hvyo alivyoweka kichwa chake kama ndege?
Tanzania ni kubwa na ina utambulisho wake ni heri mngenipeleka na ngoma langu la mdumange!
Itakua vizuri mkisema msanii wa muziki toka Tanzania na sio mwakilishi wa Tanzania,
Tafadhali tuheshimiane
Acha kujitoa akili wewe... nimesema hapo... hapo wapi? Kuna CAF hapo kama sio picha ya pamoja?!Diamond hayupo Gabon kwa ajili ya Rais Bongo bali yupo huko kwa mualiko wa CAF kushiriki uzinduzi wa AFCON kama walivyoalikwa hao wengine
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Duh, haya mapovu unaweza kuosha gari tatu.
huyo president havaagi Suti
yeye ni hizo nguo za dizaini ya kifalme kanzu kanzu... sijawahi muona Press Ali Bongo in Suti
halafu inaontesha watu waGabon wanampenda Sana.
na ni MTU mstaarabu.
Namuonaga GyanTv ,au TV Gabon( sijui lakini Kama kweli mstaarabu [emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125])
Cra'p!Sawa Mr kaoge
Mkuu, Mbona ujataja kale katabia kasikopendwa na Mgabe, kakaanza long timehuyu kisha potea , hizo fashion zake, nywele, tattoos na hereni karibu utasikia mengine ya tabia mbaya - hizi ndio huwa dalili za kuelekea huko
Unaweza ambiwa mamruki sasa hiviUsahihi ,Rais wa Gabon akiwa na wasanii mbalimbali namuona Akon,Davido,Diamond na wengineo