Makari hodari
JF-Expert Member
- May 17, 2022
- 3,758
- 7,249
loooh 😂😂😂😂😂Kipenzi Changu njoo tazama hii uwa-tag na wale wahuni waliokushukia vikali kwenye uzi wako
Umewahi kufika ofisi ya Balozi ya Tanzania nchini Uingereza?Balozi mwenyewe hajamind.
Wapambe ambao hata hawajulikani sasa!
I can feel that too. For his level he has painfull experience first hand bureaucracy and how the gov work.Watakuwa walimkamua sana Kodi kiasi kwamba hajali chochote anawaona wahuni tu, anaona anaenda kuonana na muhuni hawezi kuwa na heshima😀😀. Serikali isimdai Kodi ya dhurma kijana maana atakuwa anashindwa kuwaheshimu wote walioko serikalini
Hii inaaply kwa baadhi tu ya mamboNadhani kila mtu anafanya anavyotaka tusimpangie
Unapataje hakika?Umewahi kufika ofisi ya Balozi ya Tanzania nchini Uingereza?
Nina uhakika alimwambia hata kwa kumnong’oneza Huyo kijana hawezi kusema ukweli na mapokezi huenda Yule mnoko anayeifahamu kazi yake vyema Nina uhakika siku ile hakuwepo walikuwa vijana wa intern 😄
Kairuki hakuwa na namna maana kashaupokea ugeni na alishakubali appointment yao.
Alifikaga serena akajifanya mjuaji apite bila kukaguliwa kuna kijana mmoja wacha afunge mlango… nilimsifu sana yule kijana nafkiri hata ali-deserve kupandishwa cheo na mshahara
Kwa sababu nina watu naweza kuwasiliana nao pale direct na wakanipa taarifa wakitakaUnapataje hakika?
Nadhani kila mtu anafanya anavyotaka tusimpangie
Soma hapa we Kiranga unayetetea upuuzi! Umeandika kwa jazba sana mpaka unachapia hata sikuelewi.Chibu ni mshamba sana
Kavaa Ki Miso MisondoChibu ni mshamba sana
Bila kanuni? Rules are rules! Without rules we are all savages!Nadhani kila mtu anafanya anavyotaka tusimpangie
Ni kuonesha hana the well organized and literate management.Kavaa Ki Miso Misondo
Tutahakikishaje hii habari ni ya kweli na hujatunga tu?Kwa sababu nina watu naweza kuwasiliana nao pale direct na wakanipa taarifa wakitaka
Watanzania wengi hamjui uhuru. Mmelelewa katika ujima na kukulia katika ujamaa. Mmefundishwa kuwa wote mnatakiwa kuwa sawa mpaka kwenye mavazi.Soma hapa we Kiranga unayetetea upuuzi! Umeandika kwa jazba sana mpaka unachapia hata sikuelewi.
Huyu jamaa amemaliza yote!