Diamond Platinumz ameamua sasa kuuza karanga

Diamond Platinumz ameamua sasa kuuza karanga

Mdogo mdogo tu pesa inaingia
Kabisa. Acha akina porojo waendelee na porojo, kijana wa Tandale Mtogole anapiga pesa tu. Mwenzao Diamond kajenga bungalow Madale na ana swimming pool, wao wamepanga Sinza, banda la uani. Diamond anakesha studio mpaka saa 10 alfajiri, akina 'maneno' wao wanakesha bar wakitumia kidogo walichokopa!
 
Watanzania acheni ushamba wa kuamini kila kitu mnacho ambiwa na hao matapeli mafreemason. Hizi karanga zipo sokon mwaka wa pili huu sasa angalia tarehe hapo chini afu anawadanga kuwa kampuni yake kisa tu imeandikwa diamond si aseme tu kama ni tangazo? Dalili za kuishiwa ndio hizo sasa.
49fac24383ef061470748956a57c43ab.jpg
Tatizo ni sasa kijana
 
Chibu perfume sio za Diamond,pale kauza jina na anatumia kuibrand.
Ni collabo ya Diamond na Kusaga na ndio maana wote wana-work hard kuitangaza! Kusaga kupitia Clouds na Diamond kupitia social network na umaarufu wake!!
 
Pana kipindi wakati flan kishamba kaanzisha zile imalaseko supermarket pana watu hivi hivi wakasema ooh sio zake yeye kawekwa tu ni za wakubwa nikajiuliza hata kama sio zake lakini pana %fulani anapata kama ni hivyo ni njema kwake. Sasa kijana hata kama huo uturi na huu ujugu sio wake ila pana kipato flan kinaingia penye mfuko sio mbaya kwake.
 
pafyum laki parefu bora izo karanga atauza sana kama chama zinavyouzwa
 
Back
Top Bottom