Idimi
JF-Expert Member
- Mar 18, 2007
- 15,328
- 11,192
Kabisa. Acha akina porojo waendelee na porojo, kijana wa Tandale Mtogole anapiga pesa tu. Mwenzao Diamond kajenga bungalow Madale na ana swimming pool, wao wamepanga Sinza, banda la uani. Diamond anakesha studio mpaka saa 10 alfajiri, akina 'maneno' wao wanakesha bar wakitumia kidogo walichokopa!Mdogo mdogo tu pesa inaingia