Diamond Platinumz amiliki gari ya thamani kubwa

Kurekebishana kupo na kwakuwa umelirudia hilo neno kuanzia kwenye heading na content ina maana hulifahamu naomba leo nikufahamishe mkuu

THAMANI sio DHAMANI

Najua sitakukwaza ila nitakuwa nimekusaidia
 

ndio nini sasa
 
Gari ya gharama,halafu kapanga,haya haya ya Kanumba
 
Kukosea kupo mbona wewe ulishawahi kusema Barabara ya Kilwa Road?

Kusema barabara ya Kilwa Road si kukosea ni sahihi kabisa. Utabadilishaje jina? "Kilwa Road" ni jina.

Kubadili matamshi si kukosea, ni kutokujuwa, utakuta wengi Kiswahili si lugha mama kwenu ni lazima wenye lugha yetu tuwarekebishe.
 

siri ya mtungi aijuaye kata komaa kaza kisha utapata,siri ya mchezo naijua mimi tu na hakuna mwingine
 
Gari ya gharama,halafu kapanga,haya haya ya Kanumba

haya magari wanapewa na wauza sembe wakina KIUMBE CHIEF mziki bongo haulipi kama P.DIDY kakiri utajiri wake umetokana na drug dealer nje ya hapo asingekuwa billionare
 

Aisee huyu ana rangi nzuri. Heaven on Earth njoo uone kitu roho inapenda.
 
Last edited by a moderator:

Kwa shoo zipi anazofanya? tunatakiwa tuvumbue macho sasa. Je analipa kodi ya mapato kama anavyopata?
Anafanya shoo wapi na wapi mpaka anapata hela nyingi hivyo?
ana vitega uchumi vp ambavyo vinampa kipato tofauti na muziki?
Nahitaji kulijua zaidi soko lake la muziki na VYANZO VYA MAPATO kabla sijasema neno katika Uzi MAALUM
 
Kiswahili lugha yangu ya pili cyo mbaya kukosolewa! Ila nashukuru ulielewa kilichoandikwa! Mziki unalipa na diamond anafanya game watu wanaona kwa hiyo cdhani kununua v8 ni kitu cha ajabu sana kwake!
 
Kwa hapa tz dogo hafanyi shoo yoyote chini ya mil 10 ! Utakumbuka juzi alifanya shoo mwanza moja tuu mil 27! Za nje ya nchi usiongelee maake bei zake si chini ya mil 32 ela za kitz! Yupo kwenye matangazo na project na coca cola! Kwa hiyo still dogo anadeserve kabisa vitu hivi! Unakumbuka shoo yake ya mlimani city kiingilio kilikua elfu hamsini lakin wa2 walijaa kupita maelezo!
 

Sawa mpambe wa Almasi tumekusikia. Na vp kuhusu Almasi kurudiana na Wema huna taarifa zozote..??
 
Tatizo mnapamba sana! Hongera yake ila hiyo gari siyo mpya ina number B ya mwaka juzi, inamaana amenunua kwa mtu, pia hiyi haifiki thamani hiyo, mpya ni 120 - 160.

Kama ni namba B halafu Utubora anashabikia kuwa "kaingiza" mkoko mpya huzi kwlei huo unakuwa ushabiki usio na msingi. Hiyo bei uliyoandika ni ya Brand New au?...wapi?
BTW, mimi sipendi miziki ya Diamond, lakini dogo naskia ana kipato kizurri, hongera zake, inabidi awe na mawazo ya kijasiriamali sasa, hizo pesa anazopata akiwekeza kwenye uzalishaji atakuwa kijana mwenye mafanikio makubwa sana ndani ya muda mfupi.
 
Last edited by a moderator:

Naona unamshabikia sana, kamwambie atumie vizuri pesa anazopata sasa hivi kabla mwisho haujaja, mwambie awekeze kwenye uzalishaji.
 
Itakuwa BMW X6 mzee! Ila sasa kwa bongo ni msanii gani anaimiliki? Labda presidenti mwenyewe!

ina maana Rais wako ni msanii na yeye?


Hongera sana Msanii ni njia ilio wazi sasa,
wasanii tukisema tunanyanyaswa itakuwa haina nguvu sana kwani ni wazi kuwa inawezekana kuendelea mbele zaidi na zaidi.
Gari zuri watu wanatamani kumponda ila ukweli hata kuweza tu kulimaintain kama angekuwa kapewa bure si jambo dogo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…