Chinga One
JF-Expert Member
- May 7, 2013
- 11,469
- 12,391
- Thread starter
-
- #2,061
Hivi huyu bwana mdogo ana vitega uchumi vyovyote...
Nakumbuka kuna wakati alikuwa anajigamba kuwa na pesa nyingi kiasi cha kufikia bilioni moja...
Sasa kwa nchi yetu hii muziki si ajira rasmi na mara nyingi huwa mashabiki wake wana kasumba ya kumpenda msanii mmoja kwa muda fulani baada ya hapo wanahamia kwa mwingine mpya...
Hivyo ni vyema kutazama vyanzo vingine vya mapato sasa kwa kufungua vitega uchumi, na kwa kuwa ana jina kubwa ni rahisi kufanikiwa upande huo pia...
Hivi alipatana na sangoma wake?

Hahaahahaaa... hao Moderator wenyewe wanafahamu ni namna gani hiyo kazi ilivyo ngumu manake wakitaka hivyo itabidi wamu-assign mtu kabisa kwa ajili ya ku-deal na threads za Dr. 3D peke yake! Tatizo la huyu mnyama ni kwamba, hata wale wanaodai kwamba Chibu ni mtu wa kupenda show-off na magazeti, utakuta tena nao pia wanaleta threads kuhusu Chibu!

Lakini kwa hii double naming, sina shaka Moderator na mkuu Invisible watakuwa wameshapata alert!
Wasafi wote tunashow tarehe 28 december Burundi

Sasa ikiwa ya Burundi watakojoa dagaa, hii ya Washington DC kesho kutwa si watakunya kambale kabisa! Miba za kambale si kuchana chana nanii huko...!!Lazima wakojoe dagaaa
Lazima wakojoe dagaaa
Kuanzia leo anaitwa Dr 3Diamonds