Diamond Platinumz Fans' Special Thread: Njooni tukutane hapa

Diamond Platinumz Fans' Special Thread: Njooni tukutane hapa

Picha za mapokezi ya diamond.
 
Attachments

  • 1417578681178.jpg
    1417578681178.jpg
    74.4 KB · Views: 122
  • 1417578697004.jpg
    1417578697004.jpg
    49.4 KB · Views: 116
  • 1417578719005.jpg
    1417578719005.jpg
    60.2 KB · Views: 115
  • 1417578743995.jpg
    1417578743995.jpg
    66.4 KB · Views: 109
Diamond platnumz on his arrival
 
Attachments

  • 1417578787629.jpg
    1417578787629.jpg
    83 KB · Views: 111
  • 1417578800839.jpg
    1417578800839.jpg
    86.2 KB · Views: 109
  • 1417578812843.jpg
    1417578812843.jpg
    89.5 KB · Views: 109
  • 1417578827556.jpg
    1417578827556.jpg
    67.3 KB · Views: 104
Huyu jamaa ni zaid ya mfalme unajua
 
Attachments

  • 1417578885976.jpg
    1417578885976.jpg
    70.8 KB · Views: 103
  • 1417578915754.jpg
    1417578915754.jpg
    87.2 KB · Views: 111
  • 1417578933452.jpg
    1417578933452.jpg
    102.1 KB · Views: 112
  • 1417578969026.jpg
    1417578969026.jpg
    64.4 KB · Views: 114
nakubaliana na ww
Hivi huyu bwana mdogo ana vitega uchumi vyovyote...

Nakumbuka kuna wakati alikuwa anajigamba kuwa na pesa nyingi kiasi cha kufikia bilioni moja...

Sasa kwa nchi yetu hii muziki si ajira rasmi na mara nyingi huwa mashabiki wake wana kasumba ya kumpenda msanii mmoja kwa muda fulani baada ya hapo wanahamia kwa mwingine mpya...

Hivyo ni vyema kutazama vyanzo vingine vya mapato sasa kwa kufungua vitega uchumi, na kwa kuwa ana jina kubwa ni rahisi kufanikiwa upande huo pia...
 
Kikubwa nachoweza kujivunia kama mdau wa maendeleo kutokana ma mafanikio ni kitendo chs yeye kujitangaza binafsi kama WCB ambayo ni nembo take ya kibiashara lkn kubwa LA nyongeza kwetu kama watanzania ni kututangaza cc sote kama jamii ambayo ulikuwa haitambuliwi miongo michache ya nyuma. Hongera diamond hongera kwetu sito kama taifa
 
Hivi huyu bwana mdogo ana vitega uchumi vyovyote...

Nakumbuka kuna wakati alikuwa anajigamba kuwa na pesa nyingi kiasi cha kufikia bilioni moja...

Sasa kwa nchi yetu hii muziki si ajira rasmi na mara nyingi huwa mashabiki wake wana kasumba ya kumpenda msanii mmoja kwa muda fulani baada ya hapo wanahamia kwa mwingine mpya...

Hivyo ni vyema kutazama vyanzo vingine vya mapato sasa kwa kufungua vitega uchumi, na kwa kuwa ana jina kubwa ni rahisi kufanikiwa upande huo pia...

Tena huu ushauri aungalie kwa macho sita
 
Mdau chige hebu ongea na Moderator aziunganishe sired za ushindi wa Dr 3D maana mpaka tunachanganyikiwa sired zilivyo nyingi.....Fanya hivo kaka.

Cc: Opera man
Hahaahahaaa... hao Moderator wenyewe wanafahamu ni namna gani hiyo kazi ilivyo ngumu manake wakitaka hivyo itabidi wamu-assign mtu kabisa kwa ajili ya ku-deal na threads za Dr. 3D peke yake! Tatizo la huyu mnyama ni kwamba, hata wale wanaodai kwamba Chibu ni mtu wa kupenda show-off na magazeti, utakuta tena nao pia wanaleta threads kuhusu Chibu!

Lakini kwa hii double naming, sina shaka Moderator na mkuu Invisible watakuwa wameshapata alert!
 
Yeah kaka,kuna thread nzuri tu za ushauri nimeziona juzi Jana na leo so wadeal na hizo.....zile za haters kama eti kakanwa na zari sio za kuzileta wabaki nazo wao.
 
Ghafla nimekumbuka kile kipindi cha zecomedi cha ' aliyeee fuliaaa'

Km huwa anapita humu asome hio ushauri wa Watu8
 
kiukweli nilivyokuwa Nigeria nilikuwa mkiwa sana nikiangalia siwaon wasanii wenzangu nikianfalia huku na kule simuoni Ommiy Dimpoz wa Ally Kiba lakn nashukuru nimeleta heshima ndani ya nchi yangu!
 
Back
Top Bottom