Diamond Platinumz Fans' Special Thread: Njooni tukutane hapa

There u are, ndo maana nkasem tuzo anazo pewa ni sababu ya kuupangalia mzik wake na swaggs bt uandishi ni kawaidaaaa sanaaaa

alikiba anaeleweka siyo hivi unaweza kuniambia ule wimbo Wa mwana anamaniaha nini?
 
Sifagiliii hizo team zenuu...sio kila unamuon humu anaetoa views zake ni member wa team flani. Twende taratibu, acha kukalili

you have revealed your real character we don't need to make argument with your......
 
you have revealed your real character we don't need to make argument with your......

Una argue bilaa mantiki, acha kuwa mtumwa na kuwa huru kueleza fikra zako....ninae mkubali Bongo wapo kidgo hata huyo kiba wenu simuelewi wala nin. Jiongeze
 
nyie ngojeni dimond wenu akapigwe risasi uganda nyie mnadhani watu wakishazaa hua wanaachana kirahisi tu
 
wako wapi hao watu? walete hapa

Halafu we Paula umeshindikana ujue? kuna comment yako naisaka niipe like siioni....ile eti wanampimia Dai kupiga pu.mb....hahahaaaaa we nyo.ko aiseee.....
 
Halafu we Paula umeshindikana ujue? kuna comment yako naisaka niipe like siioni....ile eti wanampimia Dai kupiga pu.mb....hahahaaaaa we nyo.ko aiseee.....

hahahahaaaa hawa mbululaz wanaboa unajua, wanampimia mwenzao kupiga mbupu kama kikombe cha babu bwana, wamuwacheee asuuze rungu lake as longer as halisomi speed meter.
 
Hapa mtaani kwangu ni kama nipo gerezani mana nikiwasha TV ni ally kiba, nikiwasha radio namsikia ally kiba, ringtone za wananzengo wenzangu ni nyimbo za ally kiba tu. Jana ndo nimebahatika kumsikia rich mavoko. Hivi Tanzania hakuna mwanamziki mwingine zaidi ya ally kiba?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…