Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hivi hawa ze comed walivyofuliaga.wao walijichamba??? they have to.
There u are, ndo maana nkasem tuzo anazo pewa ni sababu ya kuupangalia mzik wake na swaggs bt uandishi ni kawaidaaaa sanaaaa
Mziki sio lazima uelewe kinachoimbwa! Nini maana ya Prakatatumba?
alikiba anaeleweka siyo hivi unaweza kuniambia ule wimbo Wa mwana anamaniaha nini?
Sifagiliii hizo team zenuu...sio kila unamuon humu anaetoa views zake ni member wa team flani. Twende taratibu, acha kukalili
you have revealed your real character we don't need to make argument with your......
Kasema nan mim ni shbiki au msemaji wke????
nyie ngojeni dimond wenu akapigwe risasi uganda nyie mnadhani watu wakishazaa hua wanaachana kirahisi tu
wako wapi hao watu? walete hapa
Sasa wengine tushaamua sasa kutangaza utaliii wetu kupitia Dr 3Diamonds
Sasa diamond anakwenda shule au ndio anasomeshaa watoto wa3? Yeye mwenyewe ana masters au PHD?
Haaaaa anajua kila verse za Raisi....
Halafu we Paula umeshindikana ujue? kuna comment yako naisaka niipe like siioni....ile eti wanampimia Dai kupiga pu.mb....hahahaaaaa we nyo.ko aiseee.....
Kwani kambaka, si kataka mwenyewe jamanii....
Hahahaa
Hawajafulia wapo vzr sn