Mungu Mweusi
JF-Expert Member
- Oct 20, 2014
- 1,474
- 1,080
Tuambie kuhusu wewe not Diamond? What changes have u done katika nchi hii; tuanze na wewe!!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hana ubunifu kwenye uandishi. Almost
Kila nyimbo lazima alitaje jua
Tuambie kuhusu wewe not Diamond? What changes have u done katika nchi hii; tuanze na wewe!!
Jamaaa sio writer mzuri, ana uandish wa secondary...kuna watu wakiandika unakubali. Sio vina vya kufosi
Mi na0na uandishi wa kisekondari nd'o unaohit hadi kachukua tuzo tatu.
Mnataka akifungua biashara aje kuwatangazia vyumbani mwenu?? Mtu ambaye anasomesha watoto yatima watatu IST mnadhani anategemea pesa za show pekee??
Moyoni wanakubali mbonaaa
Sijazungumzia tuzoo jielewe, by da way waliompa tuzo unahisi wanaelewa anacho kiimba Dai
Pamoja na uandishi wake wa secondary na blah blaah mwisho wa siku watu wanakua entertained na mziki wake na anasonga mbele zaidi hivi unaelewa maana ya skelewu? hamna tafsiri ya hilo neno lakini kutoku make sense kwake kukaifanya nyimbo imekua hit africa nzima...vivyo hivyo kwa diamond na pia chukulia mfano mtu kama lil wayne hua unaelewa anachoimba kweli...?
This is a public forum.
hujanielewa kumbe!!! basi tuendelee
Sasa diamond anakwenda shule au ndio anasomeshaa watoto wa3? Yeye mwenyewe ana masters au PHD?
hujanielewa kumbe!!! basi tuendelee
Kaka wafafanulie kaka,wengine watajua IST ni vile vi baby walker
hapana,wao wanaelewa anachokiimba ali k na juma mpogo