Diamond Platinumz Fans' Special Thread: Njooni tukutane hapa

Diamond Platinumz Fans' Special Thread: Njooni tukutane hapa

Tuambie kuhusu wewe not Diamond? What changes have u done katika nchi hii; tuanze na wewe!!
 
Mnataka akifungua biashara aje kuwatangazia vyumbani mwenu?? Mtu ambaye anasomesha watoto yatima watatu IST mnadhani anategemea pesa za show pekee??

Kaka wafafanulie kaka,wengine watajua IST ni vile vi baby walker
 

Attachments

  • 1417630611342.jpg
    1417630611342.jpg
    64.2 KB · Views: 134
Sasa wengine tushaamua sasa kutangaza utaliii wetu kupitia Dr 3Diamonds
 

Attachments

  • 1417630708106.jpg
    1417630708106.jpg
    72.5 KB · Views: 146
Pamoja na uandishi wake wa secondary na blah blaah mwisho wa siku watu wanakua entertained na mziki wake na anasonga mbele zaidi hivi unaelewa maana ya skelewu? hamna tafsiri ya hilo neno lakini kutoku make sense kwake kukaifanya nyimbo imekua hit africa nzima...vivyo hivyo kwa diamond na pia chukulia mfano mtu kama lil wayne hua unaelewa anachoimba kweli...?

Kaka kukaa kumwelewesha mtu ambae ako driven na hatred ni sawa na kutwanga maji kunako kinu......yaani yeye anaridhika akisikia mitusi ya lil Wayne lakini akisikia neno nyota lazima atafte visababu...

Ni wa kuwapuuza tuu
 
Sasa diamond anakwenda shule au ndio anasomeshaa watoto wa3? Yeye mwenyewe ana masters au PHD?
 
Tatizo wengi formal education imetuathiri sana....unaona kama mwenzako hajafika chuo kama ww unadhani hana elimu..tumesahau kabisa informal education na elimu itokanayo na mazingira....
Alipo Dr 3Diamonds kuna watu na madigirii yao hawatakuja kufika..
Shule sio ngazi ya elimu,Bali shule ni maarifa mtu aliyonayo...
Kuna wanamuziki mnawajua wenyewe wana madigirii na ma masters, lakini hio elimu yao haijawakomboa wananyonywa ktk shows zao kuliko diamond ambaye amecalculate thamani yake na akasema below this mm usinitafute...
Sasa nikuulize hapo nani ana akili??? Diamond ambae ni form four au hao wenye ma masters na bado wanabembeleza Pesa za show???

Give our hero a space please!!!
 
Back
Top Bottom