3. Nasikia pia anasimamia kucha...
Ukiwa mwanaume rijari hakuna Mrembo utakaye onyeshwa WA uyo jamaa roho isilipuke kidogo.
Na usije kumlinganisha mpenzi wako uliyempata PM na warembo WA uyu jamaa wako utamuona kama mwanaume mwenzio.
Ukiacha WEMA,JOKATA na PENNY uyu ZARI naye ni balaa.
Ivi ni izi nyimbo au na HELA inausika?
Mwenye kujua atujuze!
Lol! Jamaa naona anapita kule diamond alikopita miaka 47 iliyopita, kavujisha wimbo unaitwa "hela" swali ni je! Wimbo unavuja hadi na cover???? Au mi ndio sielewi maana ya wimbo kuvuja?
Lol! Jamaa naona anapita kule diamond alikopita miaka 47 iliyopita, kavujisha wimbo unaitwa "hela" swali ni je! Wimbo unavuja hadi na cover???? Au mi ndio sielewi maana ya wimbo kuvuja?
Mkuu umepata wapi mamlaka ya kumuita binaadamu mwenzio domo...??.....unadhani wewe ulimhonga muumba kiasi gani ili akuumbe hivyo ulivyo....jiangalie kijana bado unasafari ndefu sana na katikati ya safari lolote laweza tokea...kwa kuwa hujafa hujaumbika.....kuna watu walizaliwa wazima leo hii wanamiguu ya plastic....kuna watu walizaliwa na macho leo hii wanatembelea fimbo au wanashikwa mikono...wapo wengine walizaliwa na masikio mazima leo hii wanaongea kwa ishara....hayo maumbile uliyonayo si kwa kuwa eti wewe ni mjanja sana au labda wewe ni bora kushinda wengine bali ni kwa neema tu....ninachokukumbusha ni kwamba watu huwa hawatukani mamba kabla ya kuvuka mto.....Hii dunia na dunia ni uwanja wa fujo na kwenye fujo lolote laweza kutokea.......uumbaji wa Mungu unakamilika baada ya kiumbe kuaga dunia na kurudi kwa mola wake other wise hujafa hujaumbika....NI HAYO TU...
Sio TBS nadhani ni wale wanaojulikana ambao kwa tabia za kibinadamu wakware wengi wanapenda wapige muhuri kwamba nae kapita (ndio maana hata wewe mleta uzi umewaona wakali kumbe hata hapo mtaani wapo wa level yako ni wakali tu sema kipaji kikiibuliwa na kuonekana kwenye public kila mara kinaonekana kikali though huwa wapo wakali pia)
Ndo maana hua haongi ovyo ovyo...watu wanaosimamia kucha hawachunwi ovyo na bado hogo linapangiwa foleni basi tu wanaume hawajui hii siriMimi hii ndio ninayoijua...........
Mkuu umepata wapi mamlaka ya kumuita binaadamu mwenzio domo...??.....unadhani wewe ulimhonga muumba kiasi gani ili akuumbe hivyo ulivyo....jiangalie kijana bado unasafari ndefu sana na katikati ya safari lolote laweza tokea...kwa kuwa hujafa hujaumbika.....kuna watu walizaliwa wazima leo hii wanamiguu ya plastic....kuna watu walizaliwa na macho leo hii wanatembelea fimbo au wanashikwa mikono...wapo wengine walizaliwa na masikio mazima leo hii wanaongea kwa ishara....hayo maumbile uliyonayo si kwa kuwa eti wewe ni mjanja sana au labda wewe ni bora kushinda wengine bali ni kwa neema tu....ninachokukumbusha ni kwamba watu huwa hawatukani mamba kabla ya kuvuka mto.....Hii dunia na dunia ni uwanja wa fujo na kwenye fujo lolote laweza kutokea.......uumbaji wa Mungu unakamilika baada ya kiumbe kuaga dunia na kurudi kwa mola wake other wise hujafa hujaumbika....NI HAYO TU...
tupe siri totoo.Ndo maana hua haongi ovyo ovyo...watu wanaosimamia kucha hawachunwi ovyo na bado hogo linapangiwa foleni basi tu wanaume hawajui hii siri
Jamaa nasikia ana mguu wa mtoto mdogo,swala la kusimamia kucha sidhani maana wema angekuwa anafikishwa na domo asingeangaika na wakongo,jamaa ana pipe lakini hawezi kulitumia.
kuni la hataree chezea juzi kvalishwa NJUMU YA 1MIL
kijana anajituma sio stejin tu bali KULE ILE KITU TAMU INALIWA
kuni la hataree chezea juzi kvalishwa NJUMU YA 1MIL
kijana anajituma sio stejin tu bali KULE ILE KITU TAMU INALIWA
tupe siri totoo.
Achana na Hawa watu wenye wivu WA kike ndio maana wanamwita majina mabaya mwenzao!.
afu eti sio mhogo ana hogo
Lowasa anaitwa mamvi, nyerere aliitwa mchonga, joket anaitwa kidot, ronaldinho anaitwa minjino inamaana hayo majina yametokana na wivu!
Acheni kumnafikia jamaa kwakua ana hela, nyi wanawake hakuna mtu anae wafaham zaidi ya muumba. Madem ndo walivo mtu akiwa na pesa basa kila kitu yeye anacho, aliimba Mike T alisema angekua star af akawa na mkwanja hata angekia na makov uso mzima madem wangemwita handsome. Huki kitaa madushe tunayo kwakua hatuna pesa yanaonekana mashipa.