Diamond Platinumz Fans' Special Thread: Njooni tukutane hapa

Diamond Platinumz Fans' Special Thread: Njooni tukutane hapa

N handsome pia!
Ukiwa mwanaume rijari hakuna Mrembo utakaye onyeshwa WA uyo jamaa roho isilipuke kidogo.

Na usije kumlinganisha mpenzi wako uliyempata PM na warembo WA uyu jamaa wako utamuona kama mwanaume mwenzio.

Ukiacha WEMA,JOKATA na PENNY uyu ZARI naye ni balaa.

Ivi ni izi nyimbo au na HELA inausika?

Mwenye kujua atujuze!
 
Mkuu umepata wapi mamlaka ya kumuita binaadamu mwenzio domo...??.....unadhani wewe ulimhonga muumba kiasi gani ili akuumbe hivyo ulivyo....jiangalie kijana bado unasafari ndefu sana na katikati ya safari lolote laweza tokea...kwa kuwa hujafa hujaumbika.....kuna watu walizaliwa wazima leo hii wanamiguu ya plastic....kuna watu walizaliwa na macho leo hii wanatembelea fimbo au wanashikwa mikono...wapo wengine walizaliwa na masikio mazima leo hii wanaongea kwa ishara....hayo maumbile uliyonayo si kwa kuwa eti wewe ni mjanja sana au labda wewe ni bora kushinda wengine bali ni kwa neema tu....ninachokukumbusha ni kwamba watu huwa hawatukani mamba kabla ya kuvuka mto.....Hii dunia na dunia ni uwanja wa fujo na kwenye fujo lolote laweza kutokea.......uumbaji wa Mungu unakamilika baada ya kiumbe kuaga dunia na kurudi kwa mola wake other wise hujafa hujaumbika....NI HAYO TU...

Domo co kilema ndo naana nimemuita, angekua mlemavu nicngemuita hvyo ila ni la kwake na co kilema offcourse ss cjui unalalamika nn? Hilo jina la Domo ni maarufu hapa Dar cjui km ww ndo unackia kwangu, vyombo vya habari vyote wanaliandika hlo jina labda ww ndo mgeni. Ww nn bna Domo kaitwa Busta Rymes ndo akawe diamond!
 
Sio TBS nadhani ni wale wanaojulikana ambao kwa tabia za kibinadamu wakware wengi wanapenda wapige muhuri kwamba nae kapita (ndio maana hata wewe mleta uzi umewaona wakali kumbe hata hapo mtaani wapo wa level yako ni wakali tu sema kipaji kikiibuliwa na kuonekana kwenye public kila mara kinaonekana kikali though huwa wapo wakali pia)

Sikubaliani na wewe MTU kama JOKATA na WEMA ni Warembo kwa vigezo kwan ata miss tz wameshiriki .
 
Mkuu umepata wapi mamlaka ya kumuita binaadamu mwenzio domo...??.....unadhani wewe ulimhonga muumba kiasi gani ili akuumbe hivyo ulivyo....jiangalie kijana bado unasafari ndefu sana na katikati ya safari lolote laweza tokea...kwa kuwa hujafa hujaumbika.....kuna watu walizaliwa wazima leo hii wanamiguu ya plastic....kuna watu walizaliwa na macho leo hii wanatembelea fimbo au wanashikwa mikono...wapo wengine walizaliwa na masikio mazima leo hii wanaongea kwa ishara....hayo maumbile uliyonayo si kwa kuwa eti wewe ni mjanja sana au labda wewe ni bora kushinda wengine bali ni kwa neema tu....ninachokukumbusha ni kwamba watu huwa hawatukani mamba kabla ya kuvuka mto.....Hii dunia na dunia ni uwanja wa fujo na kwenye fujo lolote laweza kutokea.......uumbaji wa Mungu unakamilika baada ya kiumbe kuaga dunia na kurudi kwa mola wake other wise hujafa hujaumbika....NI HAYO TU...

Achana na Hawa watu wenye wivu WA kike ndio maana wanamwita majina mabaya mwenzao!.
 
Jamaa nasikia ana mguu wa mtoto mdogo,swala la kusimamia kucha sidhani maana wema angekuwa anafikishwa na domo asingeangaika na wakongo,jamaa ana pipe lakini hawezi kulitumia.

wema huko anafata mbesa tu naskia pale ndo anapata kitu roho inapenda mkuno wa nazi kwenye mbuzi
 
kuni la hataree chezea juzi kvalishwa NJUMU YA 1MIL

kijana anajituma sio stejin tu bali KULE ILE KITU TAMU INALIWA

Acheni kumnafikia jamaa kwakua ana hela, nyi wanawake hakuna mtu anae wafaham zaidi ya muumba. Madem ndo walivo mtu akiwa na pesa basa kila kitu yeye anacho, aliimba Mike T alisema angekua star af akawa na mkwanja hata angekia na makov uso mzima madem wangemwita handsome. Huki kitaa madushe tunayo kwakua hatuna pesa yanaonekana mashipa.
 
masai dada Na nyie mmeacha ng'ombe,mmeanza majungu na kutembeza BUMBU Basi maisha yako kasi sana.AISEEE
 
Last edited by a moderator:
Baba na babu zetu tu ndo waliobahatika kupata wake,SISI TUKUBALI TU HAKUNA MWANAMKE MSTAABU DUNIA HII. DIRTY MOUTH
 
Zari kaiva. Wanamama tu ndio wanamind dayamondi kutoka na Zari ila wanaume wanatamani wangekuwa wao.
 
Lowasa anaitwa mamvi, nyerere aliitwa mchonga, joket anaitwa kidot, ronaldinho anaitwa minjino inamaana hayo majina yametokana na wivu!

mwambie pia mtu mfupi wanamwita mfupi na mrefu nae wanamwita mlefu na huo nao niwivu
 
Acheni kumnafikia jamaa kwakua ana hela, nyi wanawake hakuna mtu anae wafaham zaidi ya muumba. Madem ndo walivo mtu akiwa na pesa basa kila kitu yeye anacho, aliimba Mike T alisema angekua star af akawa na mkwanja hata angekia na makov uso mzima madem wangemwita handsome. Huki kitaa madushe tunayo kwakua hatuna pesa yanaonekana mashipa.

unachojaribu kukiongea wewe ni nini
mbona ueleweki nimeandika mistari michache tu umenitolea HOTUBA
 
Back
Top Bottom