Diamond Platinumz Fans' Special Thread: Njooni tukutane hapa


Mi najua dai mbahili hatari silaha yake dushe tu...hapo kwenye murano alijitutumua
huyo mcongo ni mbesa tu shem
u
 
Ngoja mgao wa escrow uishe, tutacheza naye kwny mechi zetu za mchangani.
 
Ndo maana hua haongi ovyo ovyo...watu wanaosimamia kucha hawachunwi ovyo na bado hogo linapangiwa foleni basi tu wanaume hawajui hii siri

Katika 100........wanajua 2..........wengine waliobaki kutwa kulalamika wanapigwa mizinga........maniner........simamieni kucha muone kama hamjahongwa nyie........malabuku.........
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…