Diamond Platinumz Fans' Special Thread: Njooni tukutane hapa


Copied from U-turn!!sijaongeza neno,nenda uone walivomchamba huyo dai!!
 
watu wana fungua thread kumchafua diamond sijui lengo ni kuona kijana mwenzao ana drop? wako wrong sana.
Kuna interview moja Diamond alinukuliwa akisema kwamba siasa imeingia kwenye burudani.... ni kauli fupi lakini yenye ukweli kwa 100%! Mambo ya kubadilisha maana ya mtu alichoongea zamani tulikuwa tunakiona kwenye jukwaa la siasa lakini hili jukwaa siku hizi nao kwa ku-manipulate habari za Diamond imekua ndio mtindo wao... utawasikia Diamond kasema hivi au vile lakini ulifuatilia unakuta ni uongo! Juzi hapa wakazusha habari kwamba alimteremsha Nyota Ndogo jukwaani; kumbe ni uongo! Wakatoka sana povu kwamba eti kam-discredit Camellione... juzi walipoonekana wapo pamoja kikawashuka!
 
Kwanini asiige mifano ya watu kama kina AY? Huwezi sikia akiongelea ishu zake personal au za watu wake wa karibu bila sababu ya msingi.
Akikua ataacha... siku hizi unasikia habari za Juma Nature? Je, zamani wakati yupo na Sintah? Akamatungia hadi nyimbo ambazo alimtaja wazi wazi hata kama hakutaja jina... Kingine kinachomponza Chibu ni kutoka na wasanii na karibu wote wanakuwa na historia ya kuandikwa na magazeti kabla ya kukutana na Chibu! Kwa mfano, mchukulie Wema... kila anapopita Wema, media zipo nyuma yake; tangu enzi za Kanumba, Jumbe hadi kumegwa na Blue! Afadhali wakati yupo na Charlz Baba lakini kwingine kote alikopita hiyo ndo hali yake! Jokate karibu kila bwana anayekuwa nae, anajulikana... tangu kumegwa na Hasheem, Mzee Machache na wengine wote waliofuata! Penny sio mtu wa media sana lakini kwavile mapenzi yao yaliingia dramas ndani yake, haishangazi! Huyu Zari wa sasa, kwa kule Uganda ndo kama Wema kwa Tanzania! Kwahiyo labda aanze kumega mademu ambao si attraction ya media kama ilivyokuwa kwa Hawa vinginevyo, media zitaendelea kumfukunyua kila siku!!!
 
Kick hiyo inatafutwa,chezea Kiba wewe?Wiki yote hii hatujasikia habari za ndomo.
 
kwani shuleni alikuaga anaandaa mistari tu hadi ategemee watoto wa wenzie kwa English course?
 
Kwani Penny hzo mimba alizomimbishwa hakuzitoa!!!!mambo mengine c ya kulalamika..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…