Diamond Platinumz Fans' Special Thread: Njooni tukutane hapa


na huyo pencel nae kiazi tu!' hakujua yote hayo mpaka akatoa mimba!'

hapo nilipobold sijakusoma unamaanisha nini?! ........ kwa hiyo dini nyingine zinaruhusu utoaji wa mimba au?! acha kuandika kibwege bweg.e

Grand PA
 
Upande mwingine wao wanasemaje kuhusu hizo mimba?
 
na huyo pencel nae kiazi tu!' hakujua yote hayo mpaka akatoa mimba!'

hapo nilipobold sijakusoma unamaanisha nini?! ........ kwa hiyo dini nyingine zinaruhusu utoaji wa mimba au?! acha kuandika kibwege bweg.e

Grand PA
Copied from U-turn!tUliza hisia!Usiniulize mimi,fanya kama unamuuliza Mange Kimambi!Tena hii ni nusu tu
 
Mungu analipa bwana...Yeye alivyomrekodi Wema kasahau? Eti mamiii tuache tulalee....ndo yalompata peku na ungo yatamfika .....
 
Hahahaa ndo hivyo hivyo....lakini adabu yake kaipata. Najua Wema kafurahi kimoyo moyo....
Ndo nimeshangaa,wao kuacha matumbo hadi yakue na kuwahadithia mashoga wote baada ya muda,inayeyuka!Hata dai asingesema watu wanajua tu!!Ila Mange anbeef la chin chin na chibu.
 
Ni muhimu ku balance story kabla ya kumhukumu penny
 

Badala ya kujadili ummalaya na uuaji wa huyo penny we unamlaumu mtu aliyechukizwa na utoaji wa mimba!..unatoaje mimba mbili mfululizo? Huyu binti ni wa kufungwa na kunyongwa kabisa shenzy sana
 
Usimpangie cha kusema hata siku akikugonga Mange ,Daimond lazima aseme hamtaki lambeni ndimu
 
izo sifa ulizo mpa kiba pia ni kama umemchafua na yeye unamaanisha kiba hachagui wala hajali anagonga mademu kavukavu kila akienda nje kupiga show na kuwa na watoto wengi wa mama tofauti ni sifa kwani.
 

hiyo iko wazi kabisa kuna watu daily wanashinda mitandaoni kumfitinisha dai ila aonekane hafai kwenye jamii wameshindwa kumpa promo mwana wao ndio basi tena kama alishindwa kutoboa kipindi kile cha one8 basi ndoo hawezi tena.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…