instagramboy
JF-Expert Member
- Oct 16, 2014
- 1,521
- 345
Na kwann atoe mimba
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
From Mange, U-turn.
Hii interview dah, imenisikitisha mnoooooo, kwanini anaongea sasa huyu jamaaa? why tell people Penny alitoa mimba zake mbili? Hivi anajua implication ya hiyo kitu kwenye maisha ya Penny? kwanza its illegal kutoa mimba in Tanzania. Pili Penny anatoka familia ya kiislam, ana kaka zake, mama yake na ndugu zake. Kweli watamwangaliaje binti yao kujua alitoa mimba mbili za huyu jamaa?
Copied from U-turn!tUliza hisia!Usiniulize mimi,fanya kama unamuuliza Mange Kimambi!Tena hii ni nusu tuna huyo pencel nae kiazi tu!' hakujua yote hayo mpaka akatoa mimba!'
hapo nilipobold sijakusoma unamaanisha nini?! ........ kwa hiyo dini nyingine zinaruhusu utoaji wa mimba au?! acha kuandika kibwege bweg.e
Grand PA
Mungu analipa bwana...Yeye alivyomrekodi Wema kasahau? Eti mamiii tuache tulalee....ndo yalompata peku na ungo yatamfika .....
Ha ha ha!!Yaliyompata Kibeku...
Ndo nimeshangaa,wao kuacha matumbo hadi yakue na kuwahadithia mashoga wote baada ya muda,inayeyuka!Hata dai asingesema watu wanajua tu!!Ila Mange anbeef la chin chin na chibu.Hahahaa ndo hivyo hivyo....lakini adabu yake kaipata. Najua Wema kafurahi kimoyo moyo....
From Mange, U-turn.
Hii interview dah, imenisikitisha mnoooooo, kwanini anaongea sasa huyu jamaaa? why tell people Penny alitoa mimba zake mbili? Hivi anajua implication ya hiyo kitu kwenye maisha ya Penny? kwanza its illegal kutoa mimba in Tanzania. Pili Penny anatoka familia ya kiislam, ana kaka zake, mama yake na ndugu zake. Kweli watamwangaliaje binti yao kujua alitoa mimba mbili za huyu jamaa?
Acha hiyo tu , Penny bado ni mdogo anahitaji kuolewa hivi ni mwanaume gani atafurahi kujua mkewe alitoa mimba 2 za mtu mmoja tu? Hivi huyu anajua jinsi wanawake wanavyoficha hiyo issue ya kutoa mimba? yani mtu hata uolewe ushindwe kuzaa au upate matatizo humwambii mumeo kuwa ulitoaga mimba. Kutoa mimba huwa ni siri ya mwanamke tena anakufa nayo mwenywe yeye na Dr aliemtoa mimba. Alafu yeye anamtangaza mtoto wa watu katoa mimba, tena sio moja, mbili. Yani kamtia yule mtoto doa kubwa mnooo. Na wale wanaomchambaga Penny huko instagram mbona ndo watapata cha kumchambia zaidi.
Diamond ni mdhalilishaji mnoooooooooo wa wanawake. He doesnt think akiwa anaongea, DAH KABOA MNOO. Hivi unaongeaje on TV kuwa gf wako alitoa mimba 2 tena unamtaja na jina? Huyu mtoto usupa star wake utakuja kuisha vibaya maana anaelekea pabaya sasa. Kusema ukweli mimi I thought wanaume wanaowapenda mama zao au walio close na mama zao huwa wanathamini sana wanawake ila huyu star wetu kaonyesha kuwa sio wote. duh. Hivi Petitman siku akiongea on tv kuwa Esma alitoa mimba 2 yeye atajiskiaje? atafurahi kweli? VERY SAD!
Ila pia mie kama naanza kumstukia huyu kakake Wema, analalamika Penny alitoa mimba zake, Wema alikataa kumzalia mtoto yani na usupa staa wake woooote kweli hawa wanawake woote wanakataa kumzalia? mie nahisi kama kijana wetu is shooting blanks!!! lol (kama hujui kithungu google). Yani kwa jinsi alivyo na wanawake kila leo lazma mmoja angejibebesha -mimba hata kwa kuiba condom na kujidunga sindano za **** ili imradi apate mimba Penny alivyokuwaga kafika kwa Diamond anasubiri ndoa kweli achomoe mimba mbili??? mweeeh??? mie naona kama anajitetea sana kuhusu swala la mimba? mdogo wangu Wema alivyokuwaga ready kufa juu ya Diamond na tayari kwa ndoa kweli akatae kuzaa nae? mmmmh!!!! asije tu baadae akasema na Zari nae alikataa kuzaa amzalishe tu hata kamoja, hahahahhahahaa..
Yaani the biggest supastar in East Africa unapiganiwa na mademu kona zote alafu eti wanawake hawataki kuzaa na wewe?? nani kaona hiyo???? yani by now Diamond alitakiwa awe na watoto wa kusingiziwa kama 10 hivi. lol Hamuoni mwezie Ali Kiba, kidume cha mbegu, UK ana mtoto, sijui na mji gani naskia ana mtoto Yani yeye akienda nchi za nje kwenye show lazma aache copy yake huko hahahahhahahah!
watu tumesahau kabisa kwamba kuzini ni dhambi
sasa si usubiri wadau wachangie
Kuna interview moja Diamond alinukuliwa akisema kwamba siasa imeingia kwenye burudani.... ni kauli fupi lakini yenye ukweli kwa 100%! Mambo ya kubadilisha maana ya mtu alichoongea zamani tulikuwa tunakiona kwenye jukwaa la siasa lakini hili jukwaa siku hizi nao kwa ku-manipulate habari za Diamond imekua ndio mtindo wao... utawasikia Diamond kasema hivi au vile lakini ulifuatilia unakuta ni uongo! Juzi hapa wakazusha habari kwamba alimteremsha Nyota Ndogo jukwaani; kumbe ni uongo! Wakatoka sana povu kwamba eti kam-discredit Camellione... juzi walipoonekana wapo pamoja kikawashuka!