Diamond Platinumz Fans' Special Thread: Njooni tukutane hapa

Is the only man ambaye anakuwa bado anamapenz ya dhati na x wake ndio anaweza akamuongelea shit kama hii x wake...
#Its too bad kumuongelea mwanamke mbele ya dunia nzima kuwa katoa mimba tena mimba mbili,,am sorry for you Penny kuwa almost Watanzania wote wanajua kuwa umeshatoa Mimba mbili,hata huyo anayetegemea kukuoa au atakayekuja kukuoa usipozaa atasema kuwa ni kwa sababu ulitoa mimba sana wakati wa ujana wako including mbili za Diamond
#But ni somo kwenu akina mama/dada muache kutembea na hawa watoto,maana huyu ni tabia yake kudhalilisha wanawake kumbukeni alishawahi kumdhalilisha hata wema pia..
 
rais kikwete ampongeza diamond kwa mafanikio yake na kuitangaza tanzania,pia jk ame mpongeza idris kwa ushindi wa BBA....
pongezi hizo zimetolewa leo ikulu ambapo diamond alipata mualiko na pia aliweza kumuonyesha rais tuzo tano alizo nyakua diamond kwa mwaka huu.
 
Diamond akiwa ikulu na jk
 

Attachments

  • 1419357444807.jpg
    60.4 KB · Views: 145
  • 1419357531974.jpg
    64.1 KB · Views: 145
Jamaa nasikia ana mguu wa mtoto mdogo,swala la kusimamia kucha sidhani maana wema angekuwa anafikishwa na domo asingeangaika na wakongo,jamaa ana pipe lakini hawezi kulitumia.

Ushalirambaramba likakukosa kosa mkuu nn?
 
Yaani linaona sifa kila siku mkimwanzishia uzi hebu msahauni naona ataamua kuvua nguo akaonyeshe dudu yake global ili watu wamzungumize fyuu mshamba wa kila kiyu huyu
 
Ushalirambaramba likakukosa kosa mkuu nn?

Hayo Maneno ni ya marafiki zake wa karibu ndio waliniambia,wanasema mbwa aliyekonda aibu ni ya mfugaji,simply ukiona demu wako anagawa nje jua wazi unacheza kiduku tu wewe uwanjani ,hausimamii alajii alajii kundundundunduuuuu....
 
Ukiona mwaname anajionyesha sana mbele za watu kuwa anajua kubadili wanawake jua kuna tatizo ku bed ndio maana watu wakisikia sifa za nje wanakimbialia mbio wakifika huko wanakuta sivyo ndivyo ila wanashindwa kusimulia ila iko siku atampata kichaa mwenzie siri zote zitakuwa nje halafu nadhani ana shooting black
 
Copied from U-turn!tUliza hisia!Usiniulize mimi,fanya kama unamuuliza Mange Kimambi!Tena hii ni nusu tu

ok. nimekusoma!' sikuona hapo juu km umeicopy sehemu ...........

Grand PA
 
Boo......................??? Ndukiiiiii
 

Attachments

  • 1419369351556.jpg
    46.1 KB · Views: 126
This dude is acting like a Bit*h trust me hawa ndezi wanakua maarufu bila mpangilio.
 


Watoto wakike mmezidi kujirahisisha wacha awavue nguo zaidi ndio mjitambue.. safi Dangote
 

It makes sense,domo atatumiwa weee mpaka basi,bibi bomba zari ataanda matamasha kibao anajua domo atapafomu bureeee!! Kakamata fursa!
Watu hamuishiwi... Wema alipopanda stejini kwenye show ya Diamond, oh; Domo anamtumia Wema hadi mashabiki wa Wema wakaja na Bring Back Our Wema!! Leo hii Diamond kahudhuaria show ya Zari, tena oh, Diamond anatumika kwa Zari!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…