Diamond Platinumz Fans' Special Thread: Njooni tukutane hapa

Mlimdangamya Kiba akatengeneze video SA kama diamond, matokeo yake imekua vituko ameishia kukata viuno tu.

Mkubwa idawa hii video kwangu mimi naona sina hadhi ya ku i assess.,,

naesabu kama hakuna video mpya kwa Ally.
 
Last edited by a moderator:
Ndio hao watoto wao wakiulizwa raisi wa tanzania nani atasema diamond mwenyewe unafurahia
 
Katika mwaka ambao unaelekea kuisha msanii nguli kutoka Tanzania 'Diamond' amenyakua tuzo ya msanii bora wa kiume (afrimma)katika ukanda wa afrika mashariki pia ikumbukwe ni juzijuzi tu Diamond alipiga hattrick ya tuzo za channel O baada ya kujinyakulia tuzo tatu ikiwemo ya msanii bora africa..

Mafanikio haya ya Diamond ni chachu kwa wanamuziki wetu ambao wengi wao wanapenda kukaa na kupiga majungu tu kwa mafanikio yao madogo wakati ukweli ni kwamba bado wanayo safari ndefu mno kuupeleka muziki wa Tanzania mbali.
 
Sisi ni wazee wa tuzo tu tushachukua as usual AFRIMA best male east african artist kachukua dangote nchini nigeria
 
Hata Mzee wa magazeti pendwa kaweka pembenu habari za udaku na kumsalut Diamond na kutoa rai kwa wasanii wengine kuiga mfano wa Dangote.... kupiga show kwa masaa 3 na nusu si mchezo inahitaji kujituma aiseee
 
Hongera vanessa mdee best female artist in east africa
 

Attachments

  • 1419731245385.jpg
    69.9 KB · Views: 157
gatcha....! All for him. Hatutamtenga kamwe.
 

hongera, umesikika.. All about diamond. Mtakula vifuu mwaka huu,,,

damn.
 
After Dar live its BURUNDI, RWANDA n NIGERIA.

DAMN IT. MTASUGUA SANA GAGA.!!!
 
Mtoto atakua anaakiri kuliko baba take, ukitaka kujua weka na wimbo wa Michael Jackson, kisha njoo na thread mpya ya kumkandia Mj.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…