Diamond Platinumz Fans' Special Thread: Njooni tukutane hapa

aisee..,, whats ur original ID Stranger ..!!?

Kama nakujua hivi.
 
Last edited by a moderator:
Wema wanashangilia...
Wabaya wanatamani kuliaaaa...
Kumbe nia yao hawapendi mimi nipige bao.....
Kumbe nia yao wanataka njwe chini yao....haooo...
20%
 
kajibebea tuzo nyingine.,..!!

R.I.P haters.
Ila siamini kama DIAMOND bado ana haters.

And if theres any (damn) hater out there... Are cursed.
 

mkuu unachoongea hata sio uongo maana juzi nilikua kwa rafiki yangu nyimbo ya mdogomdogo ilikua ikipigwa sasa kulikua na mtoto wa miaka kama 2:5 hiv akaanza kusema dogodogo dogodogo huku akielekea njee haraka kwenda chumba chao kilichokua kikipigwa huo wimbo
 
sa kila mtu ana madem na wapenzi 50, wakisema wapande nao jukwaani mashabiki tutakosa hata pa kukanyaga na stage haitatosha!!!
ukiona mtu anamfichaficha mpenzi wake lazma kuna makweshen mak
 
kuna clip moja mtoto wa std 2 anaulizwa rais wa nchi ni nani anajibu diamond platnum...watoto wa sasa habari zao ni diamond na chadema!!!
 
Penny ajibu mapigo.
Mwaga mbonga nami namwaga ugali,bigwa wa kuzalilisha maex wake Diamond hana uwezo wa kumpa mwanamke ujauzipo kama Penny alivyosema.
 
Nilitaka nishangae uwezi ukawa unatembea na rome jones ukawa rijali ata cku 1
 

umeona sasa..., jamaa kashika vibaayaaa!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…