Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nimetulia tu hapa home saafi na family.. Nikaamua zicheza video mpya nilizozidownload mpya mpya.
Sasa nikaanza icheza ya DIAMOND - NTAMPATA WAPI...
Nikashaangaa sana , mwanangu 3 yrs now akapiga kelele , damondi, damondi., aisee.
Nikasema isiwe kesi nikaiplay na mwana ya ALLY.., nkamuuliza na huyu nani.,,
akajibu SIMJUI, SIMJUI, SIMJUIII...,
hahahaha.. NIMECHEKA SANA, AFU NIKAJIULIZA INA MAANA MWANANGU ANAAKILI KULIKO WATU WAZIMA.
AISEE.
sa kila mtu ana madem na wapenzi 50, wakisema wapande nao jukwaani mashabiki tutakosa hata pa kukanyaga na stage haitatosha!!!mimi nina choona kuwa wasaanii wengine wa TZ hawana mbwembwe za Diamond ndo maana habari za diamond zinavuma sana.......ni kama wak pembeni vile.....huku Diamond yuko uwanjani..
wanashindwa nini kuwaweka wapenzi wao tuwaone....Zari anaweza kuwa mzuri sana au sio mzuri kulinganisha na wanawake wa wasanii wengine but hao wengine mbona wanaficha ficha watu wao?
kuna clip moja mtoto wa std 2 anaulizwa rais wa nchi ni nani anajibu diamond platnum...watoto wa sasa habari zao ni diamond na chadema!!!
mkuu unachoongea hata sio uongo maana juzi nilikua kwa rafiki yangu nyimbo ya mdogomdogo ilikua ikipigwa sasa kulikua na mtoto wa miaka kama 2:5 hiv akaanza kusema dogodogo dogodogo huku akielekea njee haraka kwenda chumba chao kilichokua kikipigwa huo wimbo
Hahahaa ila yule mtoto diamond angemtafuta amnunulie hata viatu vya elfu tano lol
na ameshinda dhidi ya Ali Kiba na wengine iwe noted.