Diamond Platinumz Fans' Special Thread: Njooni tukutane hapa

Watu walishaanza, oh... wanamcheka Kiba kwamba alikopa kumalizia nyumba kumbe hata yeye anakopa!! Yaani Chibu akope sh. 10 million VICOBA kweli akutukanae hakuchagulii tusi! Halafu hawa gazeti la Mtanzania ndio wale wale ambao miezi kadhaa iliyopita walikuja na headline kubwaaaaa kwamba Diamond anajihusisha na usafirishaji wa dawa za kulevya. Hawa Mtanzania hivi sasa hawana tofauti kabisa na Shigongo materials.
 

Kwa mtu ambae analifatilia hili gazeti anajua kabisa lishaacha misingi yake iliyolisimamisha.....
Mtanzania yenyewe habari za burudani hazikuwepo za hivi Bali michezo tuu tena page moja ya mwisho..humo ndani ni mwendo wa makala za kina jenerali ulimwengu kina mjengwa na padri karugendo na wengine kina bagenda na salva rweyemamu..
Kama mtu unakua ushalifatilia unajua tu sahivi pale mchele mchele.
Kuna habari hata wewe ukiisikia kichwani mwako inakataa kabisa.
Sema me niliwaelewa wao walihisi wamepata fimbo ya kumchapia diamond ingawa hata wao walijua si kweli.

Mwisho nampongeza kadinda kwa kukanusha maana majibu ambayo angetoa diamond sijui tuuu,yaani sijui tuuu.
 

Hii ni zaid ya habari nzuri aiseee azidi kubarikiwa
 

haingii akilini mtu akope mil 10 halafu akupe mchuma wa zaid ya m30...OMG.
 

habari za siasa zime washinda sasa hivi wameamua kufuata nyayo za bamaga.
 
Yaaani najuta kumkubali huyu Dogo aseeee....nikizama yutyubu bhasi vi GB lazima vikate kwa kustream videos zake.
Insta majuzi alitupia picha flani watu wakaanza hisi huwenda kuna dude litaanguka soon

siwasikii tena wakiongelea video ya mwana,nadhani hata viewers 30k haijafikisha.
 

Amen kwa hizi habari njema....nyota na ing'are kwake twamuombea.
 
ndugu zangu, kuna alieona wale wakiopanga kumzomea prezida leo, i dont like to happen aisee.
 

hakuna lenye mwanzo likakosa mwisho, so whats your point??
 
Diamond anajiamini hatayumbishwa na kelelw za haters

cha msingi awe tu aware kuwa hao wajinga wajinga watakuwepo, ofcoz ninamwamini kuliko panadal, najua kajipqnga hasa, nimechungulia maandalizi yao pahala, wanatisha, nimependa slogan yao WCB danser afe, almas afe jukwaa libomoke. alafu wadau lets show our maturity wakizomea dont zomea back, sisi zetu zile ni shangwe kwa kwenda stegini.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…