Mie nimeku-miss wewe my dear... yaani umeadimika utafikiri shilingi ya mkoloni??!!Miss u too dear
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mie nimeku-miss wewe my dear... yaani umeadimika utafikiri shilingi ya mkoloni??!!Miss u too dear
Watu walishaanza, oh... wanamcheka Kiba kwamba alikopa kumalizia nyumba kumbe hata yeye anakopa!! Yaani Chibu akope sh. 10 million VICOBA kweli akutukanae hakuchagulii tusi! Halafu hawa gazeti la Mtanzania ndio wale wale ambao miezi kadhaa iliyopita walikuja na headline kubwaaaaa kwamba Diamond anajihusisha na usafirishaji wa dawa za kulevya. Hawa Mtanzania hivi sasa hawana tofauti kabisa na Shigongo materials.Blaza tatizo unaishi sana kwa double standards mkuu....ktk ile habari ya mganda kila muda na kapicha ka profile la Ivan kwamba hawezi sema hayaa Mara hawezi sema hiki na unamalizia kabisa wajinga pekee ndo wanaweza amini shigongo.
Lakini Jana wewe huyo ukala maneno yako mwenyewe,tena kwa maneno makali kabisa ukawaita na wenzako "manyani" kisa habari ya udaku.
Ukaja mpaka na huku mwenyewe ukaona umepata fimbo ya kuwachapia mashabiki wa diamond kwamba msanii wao anakopa mil 10,haha ukasahau kwamba hana mwaka kamhonga huyo huyo mumtajae gari aina ya murano.
Blaza ktk habari ya gazeti walisema source ni idhaa ya kiswahili ya BBC je blaza hukustuka hata kidogo kama BBC wanaweza Fanya huo ujinga????
Watu walishaanza, oh... wanamcheka Kiba kwamba alikopa kumalizia nyumba kumbe hata yeye anakopa!! Yaani Chibu akope sh. 10 million VICOBA kweli akutukanae hakuchagulii tusi! Halafu hawa gazeti la Mtanzania ndio wale wale ambao miezi kadhaa iliyopita walikuja na headline kubwaaaaa kwamba Diamond anajihusisha na usafirishaji wa dawa za kulevya. Hawa Mtanzania hivi sasa hawana tofauti kabisa na Shigongo materials.
maana majibu ambayo angetoa diamond sijui tuuu,yaani sijui tuuu.
Good news wana jf nadhani tutalala poooaa..
Kwa miezi miwili na siku mbili net ntampata wapi views zaidi ya million mbili mashabiki tunafanya makubwa sana kwakwel. Pia katika kituo cha trace urban ntampata wapi Inakamata nafasi ya tano kwenye Africa top 10. Am so proud
Watu walishaanza, oh... wanamcheka Kiba kwamba alikopa kumalizia nyumba kumbe hata yeye anakopa!! Yaani Chibu akope sh. 10 million VICOBA kweli akutukanae hakuchagulii tusi! Halafu hawa gazeti la Mtanzania ndio wale wale ambao miezi kadhaa iliyopita walikuja na headline kubwaaaaa kwamba Diamond anajihusisha na usafirishaji wa dawa za kulevya. Hawa Mtanzania hivi sasa hawana tofauti kabisa na Shigongo materials.
KIBOKO YAO CONCERT nachompendea Diamond anajiamini hope atafanya vizuri kama kawaida
Kwa mtu ambae analifatilia hili gazeti anajua kabisa lishaacha misingi yake iliyolisimamisha.....
Mtanzania yenyewe habari za burudani hazikuwepo za hivi Bali michezo tuu tena page moja ya mwisho..humo ndani ni mwendo wa makala za kina jenerali ulimwengu kina mjengwa na padri karugendo na wengine kina bagenda na salva rweyemamu..
Kama mtu unakua ushalifatilia unajua tu sahivi pale mchele mchele.
Kuna habari hata wewe ukiisikia kichwani mwako inakataa kabisa.
Sema me niliwaelewa wao walihisi wamepata fimbo ya kumchapia diamond ingawa hata wao walijua si kweli.
Mwisho nampongeza kadinda kwa kukanusha maana majibu ambayo angetoa diamond sijui tuuu,yaani sijui tuuu.
Yaaani najuta kumkubali huyu Dogo aseeee....nikizama yutyubu bhasi vi GB lazima vikate kwa kustream videos zake.
Insta majuzi alitupia picha flani watu wakaanza hisi huwenda kuna dude litaanguka soon
Good news wana jf nadhani tutalala poooaa..
Kwa miezi miwili na siku mbili net ntampata wapi views zaidi ya million mbili mashabiki tunafanya makubwa sana kwakwel. Pia katika kituo cha trace urban ntampata wapi Inakamata nafasi ya tano kwenye Africa top 10. Am so proud
ndugu zangu, kuna alieona wale wakiopanga kumzomea prezida leo, i dont like to happen aisee.
ndugu zangu, kuna alieona wale wakiopanga kumzomea prezida leo, i dont like to happen aisee.
Mzee ES
Ujumbe wako kuwa kila Mbunge ana mtandao na huwa hizi habari zinasomwa kila siku unatia matumaini. Kama hivi ndivyo, basi sisi tuna nafasi nzuri ya kuwasemea wanyonge kama ulivyosema. Nasisitiza kuwa viongozi wetu wangejenga utamaduni wa kuwa na mijadala ya moja kwa moja na wananchi.
Mfano, nikisoma mawazo ya Mzee Mkandara nafarijika sana kwasababu yanapingana na mawazo yangu. Hii inakuwa fursa pekee ambayo siwezi nikaipata kutoka kwa watu wanaonizunguka ambao tuna mawazo yanafanana. Pengine wengine wana mawazo tofauti na yangu, lakini kwa sababu ama ya njaa au ya ugonjwa wa kujidhalilisha, hawawezi kuniambia ukweli.
Mawazo yanayokinzana na yangu humu ndani, yananifungulia milango mipya ya fikra. Natoka kwenye kisanduku cha giza nilipojifungia na kuona ni wapi nilipotoka au sikuwa makini katika kufanya uchambuzi wa kuyawakilisha mawazo yangu. Kama kweli wabunge wetu wanasoma hii mijadala ambayo ina maoni yanayotofautiana na yao, basi itakuwa elimu tosha kwao kwa manufaa ya taifa letu.
Niliandika nyuma kuwa kuongoza ni kuonyesha njia. Kuwa na nguvu za ushawishi kwa kuwauzia watu mawazo na wakayanunua bila kutumia Msuli au Mtutu wa Bunduki. Viongozi wetu hawawezi kupata nguvu za ushawishi za kuwauzia wananchi mawazo (kama wanayo), bila kujenga utamaduni wa mijadala ya moja kwa moja na wananchi waliowaweka madarakani. Watu watakaowasaidia viongozi wetu sio wapambe wao, bali ni wale wanaotofautiana nao kimawazo.
Niliwahi kusoma mahala kuwa viongozi wetu siku wanapopata cheo, busara zinakuja papo kwa papo. Wanazuoni wanaamini kwamba uongozi si cheo, na wala cheo si uongozi. Mwana farsafa mmoja aliwahi kuandika kuwa Mtu anaweza kuwa na cheo kikubwa tu lakini kila mtu akamwona ni juha, na mwingine akawa hana cheo cho chote lakini akatambulika kama kiongozi hapo alipo. Uongozi hutokana na nguvu ya ushawishi, na wala si cheo na ofisi. Hutokea bahati kwa nadra kwamba ushawishi unaungana na cheo katika nafsi ya mtu mmoja, na hapo ndipo jamii hujihesabu kwamba ina bahati ya kupata uongozi madhubuti.
Ni matumaini yangu kuwa huu mtandao utaweka msingi wa majadiliano na viongozi wetu. Rai yangu ni kuwakaribisha wote bila kujali itikadi za vyama vyao. Tutajitahidi kurutubishana bongo zetu kwa manufaa ya taifa letu. Tutawafundisha kukubali kutokukubaliana, kwani siku hizi inakuwa taabu kwa vyama vya siasa kukubaliana au kukubali kutokukubaliana vyenyewe kwa vyenyewe na kati yake na Serikali. Inakuwa kama kila linalosemwa na chama tawala ni lazima lipingwe na vyama vya upinzani, hata kama ni jambo la msingi kwa taifa. Vivyo hivyo linalosemwa na vyama vya upinzani inakuwa kama ni lazima lipingwe na chama tawala hata kama ni la msingi kwa taifa. Ni vema kujenga utamaduni wa mashauriano kufikia muafaka badala ya malumbano na mapambano yasiyo na mantiki.
Nikirudi katika mada hii ya ununuzi wa vyeti, nakumbuka Azimio la Musoma lililenga katika masuala muhimu kama; 1. Elimu kwa wote, 2. Mkazo uliolenga kukuza maarifa ya Ufundi na Sayansi 3. Utambuzi wa kuwa elimu na kazi lazima viende pamoja. Lengo la Azimio la Musoma lilikuwa kuhimiza na kuendelea kuhimiza elimu kwa sababu ya maendeleo. Azimio la Musoma lilikufa kifo cha kawaida, na tumepata mawaziri wanaodiliki hata kufuta masomo ya Ufundi mashuleni. Elimu sasa hivi inaanza kutumiwa kama ni alama ya tabaka.
Kambarage na viongozi wengine walikuwa na shahada kubwa ambazo hawakuzipata kwa njia za mkato, lakini hazikutumiwa kuwatambulisha. Sasa hivi wanajitokeza "madaktari" wengi tu walioupata udaktari wao kwa njia za kutatanisha na wanajitambulisha hivyo wenyewe na wanataka watambulishwe hivyo. Hivi sasa katika duru la siasa ya nchi yetu shahada yoyote hata ya heshima ni kigezo cha tabaka. Education should be for liberation na sio matabaka.
Sasa hivi tunakimbia kwa kasi (supersonic speed) kuitamadunisha rushwa katika mfumo wetu wa elimu. Nakumbuka muda si mrefu uliopita, Kitivo cha Uhandisi katika chuo kikuu chetu cha Dar kilibuni freshman entry examinations kwa wale waliokuwa wamefaulu mtihani wa kidato cha sita. Walifanya hivyo ili kuipa elimu yetu heshima ambayo inamomonyoka kutokana na ununuzi wa mitihani unaofanywa na wahitimu wa shule zetu za Sekondari.
Zoezi hilo halikudumu kutokana na sheria ya Bunge (Act No. 21 of 1973) inayotoa mamlaka kwa Baraza la Mitihani la Taifa kuwa msimamizi pekee wa mitihani yote ya taifa. Baraza la mitihani walikuja juu kama moshi wa kifuu na zoezi hilo likasitishwa. Hata hivyo, it was a wake up call kwa nchi yetu kutambua kuwa wanafunzi waliowengi wana vyeti vinavyoonyesha kuwa wamefaulu kwa alama za juu kabisa hata kama vichwani mwao ni kweupe. Zamani wanafunzi walitakiwa kuweka bidii katika masomo kuelewa walichokuwa wanasoma. Wale waliofaulu mitihani ndio waliofanikiwa kujiunga na elimu ya juu. Sasa hivi kufaulu mtihani ni tunda la fedha na si zao la uwezo.
Tunajichimbia kaburi wenyewe. Rushwa imekwisha kubalika katika Nyanja ya uchumi ya nchi yetu. Kisiasa, tumeona katika uchaguzi uliopita jinsi watu wanavyonunua na kuuza haki yao ya msingi ya kuwachagua au kuchaguliwa kuwa mwakilishi. Hii haramu, ilihalalishwa na Bunge letu lililojaa waheshimiwa kwa mgongo wa neno Takrima. Sasa tunashuhudia janga la udanganyifu ndani ya mfumo wetu wa elimu ambapo, walimu wa vyuo vyetu, wanafunzi, watumishi wa serikali, wabunge pamoja na mawaziri wanatembeza rupia kupata vyeti. Rushwa imeota mizizi kisiasa, kiuchumi, na kielimu.
Corruption imekuwa endemic and in deed, institutionalized katika nchi yetu. Our moral and spiritual values that once constituted the pillars of our society have reached the boiling point of deterioration. Tumefikia wakati where wrong-doing has become the norm and standards accepted behavior necessary to accomplish our goals. Inawezekana sasa hivi tumekwisha wapita Wazaire katika suala la rushwa wakati wa enzi za Mobutu katika nyanja zote tatu yaani; Siasa, Uchumi, na Elimu. Raisi Mobutu aliwahi kukaliliwa akisema kuwa If you want to steal, steal a little cleverly, in a nice way. Only if you steal so much as to become rich overnight, you will be caught (Gould 1980 P. 13).
Hakuna nchi itakayojikomboa katika lindi la ufukara bila kuwa na mipango mathubuti katika elimu. Viongozi wetu lazima watambue kuwa nchi yetu haiwezi kuendelezwa na kitu kinaitwa uwekezaji labda kama tunataka maendeleo ya majengo. Lazima watu wetu wawe na elimu bora itakayowawezesha kuyakabili na kuyabadili mazingira yao. Rushwa katika mfumo wetu wa elimu inabidi ipigwe vita kwa nguvu zetu zote.
Hata mataifa makubwa mithiri ya Marekani, yataanguka kama maembe yaangukapo kutoka mitini endapo wataendeleza ubabaishaji katika suala la elimu. Sasa hivi mataifa yanayowekeza katika elimu kama Japan yanakuja juu kwa kasi na ndiyo yatakayoitawala dunia siku za usoni. Angalia makampuni mengi ya Marekani yanavyozidiwa kete na yale ya kijapan. Bidhaa nyingi za kijapan ni bora kuliko zile za kimarekani. Wamarekani uzalendo umewashinda na sasa hivi wanajivinjari na magari ya kijapan mitaani. Makampuni yao makubwa kama GMC Motors yanatolewa makamasi na makampuni ya kijapan kama Honda na Toyota.
Utafiti uliofanywa na baadhi ya makampuni ya Kimarekani, unaonyesha kuwa kazi za kawaida za uzalishaji kwenye line zinazofanywa na Wamarekani waliomaliza High School, nchini Japan zinafanywa na watu wenye digrii. Ndio maana bidhaa zao zinakuwa bora na hata kuwa na 100 percent process yield. Juzi Dr. Benjamin Carson alimtania Raisi Bush kuwa akitaka Osama Bin Raden akamatwe, inabidi awekeze kwenye elimu badala ya kutumia mabavu na kuua raia wasiokuwa na kosa. Awape wasomi changamoto kama alivyofanya Kennedy wakati wa mbio za kwenda Mwezini. Wavumbue njia bora za nishati isiyotumia mafuta. Waarabu watakosa fedha kwa sababu mafuta hayatahitajika tena. Wataanza kushawishi utumiaji wa mafuta badala ya njia nyingine. Ili kufikia makubaliano, itabidi wamkabidhi Osama Bin Raden.
tarehe 24 si ndio leo?
ndugu zangu, kuna alieona wale wakiopanga kumzomea prezida leo, i dont like to happen aisee.
Wakifanya hivyo mwaka huuu tunabeba tuzo kumi
Diamond anajiamini hatayumbishwa na kelelw za haters