Diamond Platinumz Fans' Special Thread: Njooni tukutane hapa

ndugu zangu, kuna alieona wale wakiopanga kumzomea prezida leo, i dont like to happen aisee.
Paula, acha wazomee ili wadhihirishe upumbavu wao... manake wakifanya hivyo ndipo watadhihirisha zaidi kwamba wanatawaliwa na chuki... ni mpumbavu tu anayeweza kutumia energy ya kumzomea mtu ambae ameonesha mafanikio makubwa kuliko msanii yeyote East Africa kwa 2014... kwahiyo, let it be and it shouldn't worry you.
 
Heri umeongea mapema coz' I was about to say the same thing.
 
like like like.
 
coaster 10 maeneo ya friends corner kwa ajili ya kwenda kumshangilia Diamond platinum na unapewa buku 5
 
coaster 10 maeneo ya friends corner kwa ajili ya kwenda kumshangilia Diamond platinum na unapewa buku 5
E bwana eh! Coaster 10, na buku tano tano juu... duh! Hii show ya Kigali sijui alikodisha coaster ngapi cjui na hao jamaa waliodata bila shaka walilipwa franc za kutosha!! View attachment 221177What about hii ya Mombasa? Huyu Chibu kama hakwenda Mombasa na Wasambaa wa Tanga cjui....!!

Karibu mtaani kwetu mpwa, unafikiri kuna vya maana basi>>> Ayaaaa! Yaan hapa bado moja tu, dah... Tuzo Ya Nani Mkali Itolewayo na Radio One!!! Hivi Mtaani kwenu mnatunyima nini vile?
 
duuh huyu jamaa anahonga na kukodi watu ili ashinde tuzo...!!! kumbe kwenye show zake anakodi watu ili ajaze ukumbi teh teh teh...jirani wanaleta visingizio kibao kwi kwi kwi.
 
Hivi tamasha huwa linajazwa na mwanamuziki mmoja au mimi ndio sielewi?

Basi leo Diamond atafunika maana wahudhuriaji watakuwa wengi msisahau kupiga picha na kuzihifadhi.
 
duuh huyu jamaa anahonga na kukodi watu ili ashinde tuzo...!!! kumbe kwenye show zake anakodi watu ili ajaze ukumbi teh teh teh...jirani wanaleta visingizio kibao kwi kwi kwi.

ChingaOne u killed it. hahahahaha mwenye akili atanyamaza
 
Last edited by a moderator:
Hapa hapanifai kabisa!!! Nawaona tu akina wema,kidoti,zari'penny,aunt ,naj na watu kama hao
 
Huwezi kujizuia kusikia mziki mzuri. Diamond anafanya mziki mzuri na hawacheleweshi mashabik wake.

Ana uwezo wa kutoa hits kila mwezi.

Unamchukia ila hujizuii msikiliza. Hii ndo sifa kubwa ya msanii bora.

Kutoa hits kila mwez ni mpango na ratiba ya mhusika,mwana dar hanaga tabia ya kutoa hits kila mwez tangu aanze game enzi zilee za tape alikiba 4 #real
 
Last edited by a moderator:
Ndio atakuja lakini hatofikia ubora na sifa ya diamondi. Nisawa kulinganisha ubora wa nabii Musa na Ibrahim. All are prophets but they differ each other according to there traits and vocation to serve God.

Hazikutoshi
 
lazima wakae
 
Hivi tamasha huwa linajazwa na mwanamuziki mmoja au mimi ndio sielewi?

Basi leo Diamond atafunika maana wahudhuriaji watakuwa wengi msisahau kupiga picha na kuzihifadhi.
Tamasha lipi tena Matola? Unazungumzia la Kigali au Mombasa? Afu mbona swali rahisi tu... sie twawanyima hayo kwenye picha... hayo masuala ya tamasha unasema wewe... wenzetu mwatunyima nini huko mtaani kwenu?
 
Hivi tamasha huwa linajazwa na mwanamuziki mmoja au mimi ndio sielewi?

Basi leo Diamond atafunika maana wahudhuriaji watakuwa wengi msisahau kupiga picha na kuzihifadhi.
Haloo! Jamaa anatisha bhana, usifanye mcheso... show ya Mombasa alikodi 65 seaters kama ishirini hivi... na hii tabia yake ya kuhonga ili apate tuzo sio fair kabisa.
 
hahahaaaaaa chinge we mbayaaaaaa.. unanikoshaga hapo tu
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…