Paula, acha wazomee ili wadhihirishe upumbavu wao... manake wakifanya hivyo ndipo watadhihirisha zaidi kwamba wanatawaliwa na chuki... ni mpumbavu tu anayeweza kutumia energy ya kumzomea mtu ambae ameonesha mafanikio makubwa kuliko msanii yeyote East Africa kwa 2014... kwahiyo, let it be and it shouldn't worry you.ndugu zangu, kuna alieona wale wakiopanga kumzomea prezida leo, i dont like to happen aisee.








