Diamond Platinumz Fans' Special Thread: Njooni tukutane hapa

Kwingine mtaa gani?kanunue kitumbua hyo buku 5 lako.
Vitumbua nishanunua, lakini mwisho wa siku, stori za mtaa huu ni hizi hapa:
 
Tuliza mshono huo.......kuna mtu kaibiwa? (in Kiba's voice)

we mwenyewe ungepunguza ashuo maana mara kuna watu wamekodishiwa costa mara ubwabwa yaan una wasiwasi kama una oga nje vile.pole sana timu dangote wote ni watu wanaojielewa so hata wakikodishiwa fuso wanaenda kushangilia tu bcoz kumzomea mtu ni ishara ya kumshindwa so unatafuta njia ya mkato ili umalze hasira zako
 
Hilo ndo la maana.....kula kalumati hzo utulie
Stori za mtaani kwetu ni hizi
View attachment 221177?View attachment 221178 View attachment 221179View attachment 221181 View attachment 221180 View attachment 221194 View attachment 221182 View attachment 221183View attachment 221190 View attachment 221192 Mtaani kwenu mnatunyima stori gani?? Tuwe tuna-share jamani.... hebu anza ni zile stori za tuzo zinazotolewa na Abdallah Mwaipaya wa Radio One... tuanze hizo kwanza, au?
 
Anahangaika huyo... mara oh, coaster 10, mara buku tano, mara Diamond kaenda kwa mganga... yaani full kuweweseka! Anyway, upo poa lakini zai katoto, manake sijakuona kitambo!
 
Last edited by a moderator:
Anahangaika huyo... mara oh, coaster 10, mara buku tano, mara Diamond kaenda kwa mganga... yaani full kuweweseka! Anyway, upo poa lakini zai katoto, manake sijakuona kitambo!

nipo ndugu yangu shughuli tu zmekuwa nyingi
 
Last edited by a moderator:
Mdada wa watu anaweweseka ile mbaya... nilimuomba atupe stori za mtaani kwao, maskini ya Mungu hakuna jipya!!!

hahahaaaaa hadi huruma anavyotapatapa, kama namuona anavyojitahidi kutuliza mshono lakini ndio hivyo nyuzi zinafumuka kila wakimuona LE PREZIDAAA
 
anahangaika huyo kama vile kabanwa na tumbo la kuhara then chooni kuna mtu
Afu kwenye nyumba anayosihi kuna shughuli za mazishi zinaendelea... ndani hakuendeki kwa kuwa korido imefurika, nje hakutokeki kwavile wanaume wamejazana!
 
hahahaaaaa hadi huruma anavyotapatapa, kama namuona anavyojitahidi kutuliza mshono lakini ndio hivyo nyuzi zinafumuka kila wakimuona LE PREZIDAAA
Wallah mwaka huu Wizara ya Afya inabidi wai-encourage vijana kupima maradhi ya moyo manake kirusi cha ugonjwa huu ni Diamooooooooond Platnuuuumz!! Huyu dogo sijui afungiwe kufanya shughuli za muziki huyu?
 
Mshukuru Mungu kwa kuwa na kazi nyingi na sio kama akina chige wapo JF saa 18 kwa siku!! Sema Inshallah!
chige nipo twitter nasikia " mwana " jana karuka ukuta hahahaha... Tuwasamehe au tuelendee kuwaadhibu? They shouldn't have messed with us kwene Fiesta
 
Last edited by a moderator:
chige nipo twitter nasikia " mwana " jana karuka ukuta hahahaha... Tuwasamehe au tuelendee kuwaadhibu? They shouldn't have messed with us kwene Fiesta
Jana imeniuma sana kuikosa hii show manake sie wengine taabu tupu, afadhali mwanzo wa wiki unakuwa na muda kuliko mwisho wa wiki! Anyway, wacha tusubiri full updates.
 
Hasira gani?.....huna hoja wewe unanyekenywa.
 
Anahangaika huyo... mara oh, coaster 10, mara buku tano, mara Diamond kaenda kwa mganga... yaani full kuweweseka! Anyway, upo poa lakini zai katoto, manake sijakuona kitambo!

We nae kula mikalimati hiyo huna hoja zaidi ya vioja
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…