Chinga One
JF-Expert Member
- May 7, 2013
- 11,469
- 12,391
- Thread starter
-
- #361
Najaribu papasa labda kwa macho ntaona chochotee.....
Hahaaaa cjui ndo ivo
Inabidi dai amshauriiiii moka na jukwaa wapi na wapii kama ticha anaingia darasanii
ha ha ha hata maticha siku hizi hatu ingii na moka darasani hivyo viatu ni vya kuendea kanisani na kwenye sherehe za harusi.
sasa huyu ndio wa kumfananisha na Alli anae vaa nguo rangi ya zambarau na orange au rangi ya jani la mgomba ha ha ha
hahaaaaaa vya kuchezea kwaya
Tuletee picha nyingine aisee hii teknolojia ya kuweka picha mi ina nishinda.
Mchekiiii
View attachment 202695
Dai anawajambishaa watu jamaniii
Anajua kuvaaa, kuimba na kucheza ndo usisemeee
Hahaaaa chezea mondi wewe,Achagaaa wema ndo maana hua anagongwa bure na dai
Kiruuuuuuuuuuuuuuuuu
sasa huyu ndio wa kumfananisha na Alli anae vaa nguo rangi ya zambarau na orange au rangi ya jani la mgomba ha ha ha
Tuwekee na kapicha cha mzee wa moka.