zai katoto
JF-Expert Member
- Oct 27, 2014
- 325
- 227
Ha ha ha hupati kitu inapwelepeta haifai kwa matumizi ya binadamu
" binadamu, gongo la mboto, nikifa kesho, tutashinda " fanya research kabla ya kuja kutapika mashudu. Wewe una " DiamondPhobia " kama wenzako. Nikushauri tu kwamba unaweza kuishi kwa raha ukiwa unayaona mazuri ya nasibu ambayo ni mengi kuliko madhaifu yake. Fanya maamuzi sahihi mapema utakufa kwa ujinga usio na faida. Mtazomea leo, kesho ataweka kiingilio elfu hamsini tuingie wastaarabu tu mbaki mnalalamika burudani inawabagua.
barcelona ikicheza na yanga hata kama refa atakuwa manji halafu watanzania watupu ndo waingie uwanjani ni lazma barcelona itashinda so diamond ni barcelona na kiba ni km yanga tu
nimeamini mashabiki wa kiba wana njaa wallah yaan baada ya kuonyeshewa pesa tu kila mtu akasahau kuwa alienda kwa lengo la kuzomea wakabaki wanashangilia
Hata tajiri wa mabilioni akiona buku chini ataokota!!
fatilia maelezo yake ya tangu jana usiku juu yangu then uangalie nani alianza na maneno ya shombo,anajiona yeye ni kichaa wa muhimbili kumbe wengine ni vichaa wa mirembe kabsa
hilo neno umejifunza jana nini nakuona upo kwenye mazoez ya kulikremisha.haya ongeza bidii
Hujakosea 'katoto' haya kakojoe kalale sasa
Hujakosea 'katoto' haya kakojoe kalale sasa
daimond hata bure siendi!!!
Kumbe naongea na mtu wa mirembe...maji kwako sumu,sabuni bomu
we mwenyewe umetoroka muhimbili,mtu mwenye akili timamu hawezi kuropokwa kama wewe
Sio sawa yangu wewe.....biashara yako ya masalo hyo.Ikiguswa imetumbuka
Aliyetoka mirembe ana uwezo wakujua machizi wenzie....wenye akili timamu sio class yako.
kwahyo nikusaidiaje
kama wewe eeh
Hata tajiri wa mabilioni akiona buku chini ataokota!!
Ha ha ha ila umefanya vizuri kujitambulisha kuwa umetokea milembe....
bila shaka wewe ndo ulikuwa kiranja mkuu pale au nakufananisha
Lakini hawezi kusahau kuzomea