Diamond Platinumz Fans' Special Thread: Njooni tukutane hapa

Diamond Platinumz Fans' Special Thread: Njooni tukutane hapa

" binadamu, gongo la mboto, nikifa kesho, tutashinda " fanya research kabla ya kuja kutapika mashudu. Wewe una " DiamondPhobia " kama wenzako. Nikushauri tu kwamba unaweza kuishi kwa raha ukiwa unayaona mazuri ya nasibu ambayo ni mengi kuliko madhaifu yake. Fanya maamuzi sahihi mapema utakufa kwa ujinga usio na faida. Mtazomea leo, kesho ataweka kiingilio elfu hamsini tuingie wastaarabu tu mbaki mnalalamika burudani inawabagua.

daimond hata bure siendi!!!
 
barcelona ikicheza na yanga hata kama refa atakuwa manji halafu watanzania watupu ndo waingie uwanjani ni lazma barcelona itashinda so diamond ni barcelona na kiba ni km yanga tu

Hujakosea 'katoto' haya kakojoe kalale sasa
 
Back
Top Bottom