Jamani tusiwe tu wachoyo wa kusifu panapostahili, napenda nimpe sifa DIAMOND PLATINUMZ , yeye anafanya blog nyingi zina-generate traffic ya kutosha kwa sasa, yeye ndie aliefanya kikubwa hadi bongo flava inaanza au imeanza kutoboa kimataifa, yeye ndie aliewafumbua kwa kiasi kikubwa wabongo flava wenzake ,yeye ndie aliyeitangaza vyema nchi nje ya mipaka kupitia mziki wake....na mengine siwezi kuyamaliza., kwa upande wa elimu ni form four tu lakini anafanya makubwa ambayo kwa wasomi wengi wa bongo ni ndoto za alinacha, hatokei masaki,anatokea tandale......kwangu mimi ni mbongo-flava ambae ni BEST ALL THE TIME!