BestOfMyKind
JF-Expert Member
- Apr 26, 2012
- 1,350
- 1,464
we love you too, urejee soonI miss u guyz, lapyu all, bt i lap diamond platnumz more...!
i dedicate nitarejea by Diamond to u...mith u much much guys....
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
we love you too, urejee soonI miss u guyz, lapyu all, bt i lap diamond platnumz more...!
i dedicate nitarejea by Diamond to u...mith u much much guys....
AY je??????
AY je??????
Hongera kwake azidi kukaza buti baba kijacho
Jamani tusiwe tu wachoyo wa kusifu panapostahili, napenda nimpe sifa DIAMOND PLATINUMZ , yeye anafanya blog nyingi zina-generate traffic ya kutosha kwa sasa, yeye ndie aliefanya kikubwa hadi bongo flava inaanza au imeanza kutoboa kimataifa, yeye ndie aliewafumbua kwa kiasi kikubwa wabongo flava wenzake ,yeye ndie aliyeitangaza vyema nchi nje ya mipaka kupitia mziki wake....na mengine siwezi kuyamaliza., kwa upande wa elimu ni form four tu lakini anafanya makubwa ambayo kwa wasomi wengi wa bongo ni ndoto za alinacha, hatokei masaki,anatokea tandale......kwangu mimi ni mbongo-flava ambae ni BEST ALL THE TIME!
eti dai kapigwa risasiii???
Jamani et ni kweli lo Mwenye habari atupe
Kumbe ni kweli!!!!!
Sio kweli angalia kwa makini hiyo picha sio tumbo halisi hilo mpaka imejichora