omari londo
JF-Expert Member
- Feb 18, 2015
- 1,793
- 1,774
unalazimiiisha kutukanwa, hahahahaa...! Hutukanwi, humu kwetu tuna utaratibu mzuri wa kuishi na watu, tunakujibu kwa facts ubaki unatokwa povu mwenyewe
unalazimiiisha kutukanwa, hahahahaa...! Hutukanwi, humu kwetu tuna utaratibu mzuri wa kuishi na watu, tunakujibu kwa facts ubaki unatokwa povu mwenyewe
Sababu ni kama zifuatazo
1) sio msanii ni mwimbaji kama wengine wanaochipukia
2) anategemea cheap popularity kwa kuonekana kwenye magazeti na vyombo vingi vya habari hasa vya wambea na wasiojielewa kwa habari zisizokuwa na mipango ni habari za kimajinuni
3) anajiita majina ambayo hayataweza kufanana nae wala hawezi kufikia hadhi ya hilo jina hata siku moja ktk maisha yake hapo zombie land
4) sioni sababu wala umuhimu Wa kushabikia huo ubwege
5) vingine vingi tu flagili zinakuhusu

Ilo shoga lingine hahahahahahahahah
MAKUBWA HAYA: DIAMOND THE PLATNUMZ NDANI YA ALJAZEERA TV ( hii link ni fact, na ni kweli mkali sasa ulitaka wasiseme? )Facts?? Kuna facts hata moja uliyoweka??Niliyoiona ni iyo ya kuita majina ya watu ambayo siyo fact ni ujingaNyingine ni ipi naona tu anatisha anatisha labda anatisha kwa lile domo lake na viguru Baja vyake
MAKUBWA HAYA: DIAMOND THE PLATNUMZ NDANI YA ALJAZEERA TV ( hii link ni fact, na ni kweli mkali sasa ulitaka wasiseme? )
Labda na nyingine kubwa kuvaa vipedo vya dadake
unaugulia wivu pole mtoto wa mama ntilie chuki ni bure
we huna akili, nimegundua napoteza muda tu hapa..! Eti "mwenzio kaiona hiyo link?" ndo nini sasa? unajaza nzi tu humu..! Kijiji gani unatokea asee? huko ambako swali na linapoulizwa hakuna relevance?Mwenzio kaiona iyo link??
we huna akili, nimegundua napoteza muda tu hapa..! Eti "mwenzio kaiona hiyo link?" ndo nini sasa? unajaza nzi tu humu..! Kijiji gani unatokea asee? huko ambako swali na linapoulizwa hakuna relevance?
dah! hahahahahaaKweli unapoteza muda wako maana naona kama huna kazi vile wewe lazma utakua unafanya kazi saloon maana ndo kwenye wambea wenzako
Kweli unapoteza muda wako maana naona kama huna kazi vile wewe lazma utakua unafanya kazi saloon maana ndo kwenye wambea wenzako
HOngera kijana kwa upenzi wa kimya kimyaSababu ni kama zifuatazo
1) sio msanii ni mwimbaji kama wengine wanaochipukia
BASI NI MKALI KAMA ANACHIPUKIA NA ANA TUZO NA SHOWS KIBAO ZA NDANI NA NJE YA NCHII KAWAPITA HATA WAKONGWE
2) anategemea cheap popularity kwa kuonekana kwenye magazeti na vyombo vingi vya habari hasa vya wambea na wasiojielewa kwa habari zisizokuwa na mipango ni habari za kimajinuni
WE JAMAA UNAMKUBALI DAI KIMYA KIMYA MANA HATA MI AMBAYE NI SHABIKI WAKE NILIKUA SIJUI KAMA HABARI ZAKE ZINAANDIKWA SANA NA MAGAZETI NA WAANDISHI WAMEONA HABARI ZAKE ZINAUZA ZINGEKUWA HAZIUZI WASINGEZIANDIKA KAMA YULE MSANII WAKO UNAYEMFURAHIA MACHONI ILA MOYONI YUPO DAIMOND
3) anajiita majina ambayo hayataweza kufanana nae wala hawezi kufikia hadhi ya hilo jina hata siku moja ktk maisha yake hapo zombie land
KAMA MSANII ANACHIPUKIA NA ANATUZO,SHOWS ZA NDANI NA NJE YA NCHII NA ANALIPWA PESA NDEFU KWANINI UNASHANGAA HILO VIPI USHAWAHI KUSIKIA/KUONA ANAYECHIPUKIA ANAYAPATA HAYO ?????? MAJINA ANAENDANA NAYO
4) sioni sababu wala umuhimu Wa kushabikia huo ubwege
HONGERA KIJANA KUTUONESHA UJANJA KUSHABIKIA CHUKI
5) vingine vingi tu wewe inavijua kichwani mwako
VINGI NINAVYOVIONA NA KUJUA KUTOKA KWAKO NI KWAMBA UNAMSHABIKIA NA KUMPENDA SANA DAIMOND KWA KUWA UNAJUA NA KUFUATILIA HABARI ZAKE SANA ILA UNACHOKIFANYA NI KUTAKA KUDHIBITISHA JE UPO NA WENGI BASI USIJALI TUPO WENGI
Kwahiyo kalagha baho
Huo ndo ukweli kaka! Labda apate ya Zari!Nani alikuambia Diamond anafanya muziki kwa ajili ya tuzo? Au ni mwanamuziki au msanii gani aliwahi kupata tuzo kila mwaka katika kipindi chake chote cha usanii?!