Diamond Platinumz Fans' Special Thread: Njooni tukutane hapa

Tehe teheeee utaelewa tuu.
Duniani wapi wasipomjua kiba?
VOTE FOR DAVIDO.
Yaani nikiingia huko IG nasikia raha sana team wema team kidoti team ivan team kiba wote ni mwendo wa vote for davido.

Shobo tu et Ivan hahaha. Dah wanawake mnakazi kweli .... ingieni ligi kuu basi msimu ujao wa Vodacom
 
H2na habri....yaaan now mwndo wa kuvote 2 nyie sbirin miaka buku ijayo ndo mtkuwa uko.....now best collabo na iyanya yaaaan wataelewa 2....lazma 2shuke pale kwa madima kuchkua ndoo z2
 
Hebu fafanua

kulikuw na rumors n some proofs kuwa beyonce hakuwa mjazito.The kid alikuwa adopted kwa kuzingatia mambo mengi na usiri mkubwa. Yeye mwenye anasema kwenye ule wimbo wa count down alikuwa mimba ua miez 6

kuna some facts na proofs kadhaa zingine zilinishawishi sana
 
Uto ivan c kaja kulibu2a dada poa wa bongo...mpita njia 2 hapo...liliumia kwakua halijaingia white houseeeer
 
Nasikiliza XXL hapa fetty kwa Mdomo wake amesema hakubali tuzo ya Kiba as mtumbizaji bora Ingemfaa Diamond. Tune on XXL
 
2kaushe bhana abt izo 2zo wakuu....fanya kuvote....lazma nijipige niingie hapo bonden kuchkuq vye2
 
Nasikiliza XXL hapa fetty kwa Mdomo wake amesema hakubali tuzo ya Kiba as mtumbizaji bora Ingemfaa Diamond. Tune on XXL
 
Aaaaah ayo maneno 2 dada@ila hayana maana kila m2 afnye yake kama we kiba fanya yako na me uku nafnya yangu haina haja ya kurshian maeneno bhna..we unaona vip?
 
Nasikiliza XXL hapa fetty kwa Mdomo wake amesema hakubali tuzo ya Kiba as mtumbizaji bora Ingemfaa Diamond. Tune on XXL

Ingemfaa dai kama kweny hio category angekuwa mwenyew.
Nin maana yakuwekwa yy na kiba kama kiba sio mtumbuizaji bora?...wote wanajua kukosha mashabiki ndo maana wamewekwa kweny iyo category kazi yet ilikuwa ni kila mshabik kuchagua ni yupi anaye kosh zaidi ila bahati mbaya za kiba zilizidi.
So polen
 
C sema 2 dada hakuna ubishan nyie wa ndan c wa kimataifa....jana uliona ile tuzo ya heshima ya sauz@cute
 
Aaah okay ila mtoto anafanana na jay z
 
Aaah okay ila mtoto anafanana na jay z

Yeah, hilo lilikuwa swali ,nililojiuliza ila kina jamaa aliwah sema haya. Inawezekana kutafuta mtoto kwa kuangalia wazaz walivyo then kukiw na resemblenc unayotak kid anawez ufanano akaw adoptd (aint sure about this). Pia inawezeka Jiga alipand mbegu somewhere hili likaw tunda. Maana ishu unazo ziona kwa Wema kwa beync zilikuwepo.
Pata sana miscariage n etc.....

Ukigugo unaweza pata kitu
 

Haujui waongo huwa hawakosekani kutafuta kiki?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…