Diamond Platinumz Fans' Special Thread: Njooni tukutane hapa

Hahahahaaa, eti aandikiwe wapi? Kwenye email?
Umenivunja mbavu atoto.

Hahahaaaaa walitaka ushauri wa zingifuri angeenda kuuandika amtumie kwenye email. Hahahaaa huyu zingifuri anayetuandikaga apa kila siku kwa nini asitufate pm?
 
Last edited by a moderator:
Hahahahaaa, eti aandikiwe wapi? Kwenye email?
Umenivunja mbavu atoto.

Hahahaaaaa walitaka ushauri wa zingifuri angeenda kuuandika amtumie kwenye email. Hahahaaa huyu zingifuri anayetuandikaga apa kila siku kwa nini asitufate pm?
 
Last edited by a moderator:
Nyie wakaanga sumu mtakaa mumpigie kiba kura kweli? Sidanganyiki vote for davido sumbai

hawafai hata kwa kurumagia mwanzo niliwaonaga watu ktk watu kumbe mafisiiiii...!
 
Last edited by a moderator:
Uwiiiii, yakiandikwa kwa ndomo eti aandikiwe kwenye email, kwani yale mnayoandikaga kuhusu Kiba humu wanashindwa kumwandikia kwenye email??? Huhuhuuuuuuu mtenda akitendwa!!

mavi yyyaaaoooo
 
Na tutahitimisha kwa kumpeleka mjengoni Mheshimiwa Wema Sepetu kwanza ana akili kubwa tu kuliko wabunge wengi mizigooo wa ccm wanaojaza nafasi bure mjengoni kwa kuitikia tu ndioooooooo.
yyaani nimejikuta nampenda wemaaa...!!
 
Diamond yupo busy ndani ya studio mida hii akirekodi Pan African Collabo na D... (unataka kujua jina kasome uone) smile... ndani ya Universal Studios

Kaa mkao chanjo mbeleni usipitwe na kibao hicho...

Haya

Kumpigia kura Diamond Platnumz wetu, m Tanzania mwenzetu kama sie fans wake watanzania halisi.

Ingia link hii chini, bonyeza bonyeza usichoke tujivunie uTanzania wetu sie.

http://mama.mtv.com/voting/

View attachment 261248
 
Diamond yupo busy ndani ya studio mida hii akirekodi Pan African Collabo na D... (mgeni wetu unataka jua jina kasome uone) smile... ndani ya Universal Studios

Kaa mkao chanjo mbeleni usipitwe na kibao hicho...(ujumbe wa wageni wetu)

Haya

Kumpigia kura Diamond Platnumz wetu, m Tanzania mwenzetu kama sie fans wake watanzania halisi.

Ingia link hii chini, bonyeza bonyeza usichoke tujivunie uTanzania wetu sie.

http://mama.mtv.com/voting/

View attachment 261250
 
Ndugu usicho jua ki kwamba basata ndio walio alibu ktma ya mwaka huu ..wanadanganya watu kuwa wslioiga kula saws kula piga ila kuwatu wanaitwa majaji handio walio pewa pesa na kualibu matokeo sio kama diamondplanamz alishindwa

Kama shabiki mwenyewe hujui hata kuandika, mondi kala hasara.
 
Last edited by a moderator:
Wakati naendelea kukua, Lucas Mkenda (Mr. Nice) alikuwa juu kuliko chochoote na ninasema hivi sababu wakati nasoma chuo kimoja pale Moshi alikuwa anaishi geto moja nyumba ya pili kutoka nyumbani kwetu pale Moshi Mbuyuni, alikuwa anacheza show za Kibo Gold Beers.

Baada ya muda nikamuona tena nikamsikia na kumuona na mafanikio sanaaa na habari ya kuku kapanda baiskeli ndo ilikuwa active.. Alipewa tender na Papaa King Arusha kupiga Tripple A, akapewa chumba cha kulala na marehemu Erasto Msuya (Rest in peace Boss Msuya) akawa na anatudharaaaaau!

Leo sijui yuko wapi maskini!? Ila nikimuona Mr Nice ntamkumbusha mtaani kwetu, halafu Diamond usitudharau baada ya sisi kukuweka ulipo..

 

Blue:

Hebu tujifunze kutofautisha kati ya kutokumkubali mtu na kutokumpenda.Inawezekana ukawa humkubali Ali Kiba kutona na style yake ya mziki,lakini unaposema humpendi unanipa mashaka mkuu,labda kama unasababu zako binafsi

Binafsi naweza nkasema simkubali Diamond lakini sitokuja kumchukia
 
mkiwapenda mkiwachukia sawa na bure hata hawa wafahamu anaependa ku vote a vote asie taka basii kila mtu anasimu yake humu ndani ya jf tu hatujuani sembuse mond na kiba hizo ni roho ndogo na udhaifu wa nafsi
 

ALUUUUUUUUU.....SAamahani nime kukotiiiiii
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…