Diamond Platinumz Fans' Special Thread: Njooni tukutane hapa

😛eep:😛eep:
 
Pole sana inaonekana una matatizo ya akili. Diamond alipewa tuzo uchwara zenu hizo akiwa ameshafanya kolabo na Davido umemweka kwani we ndo ulimuombea colabo na Davido? Nyie mmempandisha alikibaka na sio Diamond, dogo kapanda kwa juhudi zake.

Kale malimao!
 
Hapo ndo unefikiria na kuamua kuanzisha thread..je ungekurupushwa ungeandikaje
 
Principle ya kuwa tajiri. Usichukue ushauri wa maendeleo au maisha kwa mtu ambaye yupo chini yako kimaendeleo au kiakili. Diamond ana watu wengi wa kumpa ushauri wenye akili. Huwezi kumpa ushauri mtu aliyekuzidi. You have achieved nothing and you offer advice to people who have achieved something. Mnataka awasikilize nyie. Diamond ana watu wanompa ushauri ambao wana akili kuliko mburulaa wa hapa jamii forums ambao wanashinda kwenye net masaa 24 halafu eti wanatoa ushauri. Atashuka si kwa kelel za losers atashuka sababu ya kuzembea kwenye kazi. Mnaboa na hizo opinion zenu za kitoto
 
Hivi kila mtu diamond "anatudharau anatudharau mara anatuzalilisha" anawadharau kivipi wakati hata hajui viumbe kama nyie mpo hebu mmuache alee mimba jamani na aenjoy mafanikio yake heeeeee wivu ukifikia stage hii unakua uchawi
 
Nimefurahi kusikia toka kwa nifah kuwa sasa Jokate anakamata ze duduz ya Ali Kiba.
 
Donald ft Diamond on the makin ryt now in SA Universal Records' donald ana track yake moja inaitwa Over the moon hatari sana huyu kijana anaimba RnB moja tamu sanaa.

na bado ile ya Fallyipupa na ya psquare, na nyingne tusizo zijua, sijui kwanini huwa naamini kwamba diamond atakuja kujulikana all over the world kwa juhudi zake, mi nawaambia jamaa atafika mbali Sana, na kadri watu wanavyomuwekea vikwazo yeye ndo anaongeza juhudi, binafsi nafurahia uwepo wa haters coz wanamfanya asijisahau na awaprove wrong, mwisho wa siku anaendelea kuwa juu...

tusisahau kuvote let's vote vote vote
 

Done....
 

Wat u belv I belv to" one day Mondi atakua famous all around the world akiendelea hv. Haters inabidi wawepo tu yani hahahaha letx vote ya kulalia kwakweli 😉
 
Kiba bana ana boa sana huyu jamaa, pamoja na kuwa na wapenzi lukuki ambao hawana cha kujivunja sasa wanajifariji kwa kumpigia kura davido

Kiba utawasaidiaje hawa watu wako?
Mwishowe watajifunza uchawi bure kuhangaika na mafanikio ya Chibu

Hivi sasa Chibu yupo bize kupromote nana yake, anapromote upigaji kura Mama, Kcee kadondosha single kamshirikisha,
Mida hii yupo studio South ana piga kolabo na msouth
Alikiba masikini anambwela mbwela na atokevipi na video ya wimbo hadi tumeusahau
Lakini mtu huyu bado anapendwa na hajitambui kabisaaaa

To be honest kuwa shabiki wa kiba its ok, lakini ukiongezea hapo na kumchukia Chibu unaweza kujifunza uchawi hivi hivi bila kujua
 
I see !!!!!!!!!! Uchabiki mbaya utaharibu sanaa na mafanyikio ya ukuaji wa sanaa.
 
Unapojaribu mfananisha au mlinganisha mtu A na B unatakiwa uwe na vigezo kadha wa kadha...Mr nice mpaka hii leo bado anapambana na kujenga nyumba ili aachane na kulipa kodi sasa huwezi mfananisha mtu anayeishi kwake unamkosea kweli kijana wetu hebu muombe msamaha hata kwa nusu dk
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…